Ben Mkapa kanzu na barakhashia vimemkubali kiaina

shein3.jpg

Kama Mheshimiwa Speaker wa bunge la Muungano wa Tanzania alivyotinga Ikulu ya Zanzibar na hijabu, vazi lina mvuto wa aina yake na kumbadili kabisa mwonekano wake.

aiseee baba yangu hapa makinda ndano ya ili vazi ameva kitaiti au kiskin
 
shein3.jpg

Kama Mheshimiwa Speaker wa bunge la Muungano wa Tanzania alivyotinga Ikulu ya Zanzibar na hijabu, vazi lina mvuto wa aina yake na kumbadili kabisa mwonekano wake.
Hadi nchi inapata uhuru huyu mama watoto wa kuku atakuwa amekuwa mzungu
 
vazi la taifa liwe kanga kuiweka hijab na kanzu vazi la taifa ni kuiga mkuu
kama jamii yote ikikubali kuwa linapendeza, kwani hata kama itakuwa ni kanga, ikiwa wengi watapendezwa nayo, ubaya nini????? Kumbuka, "Kitendo chochote kilicho amuriwa na wengi, ni kitendo cha maendeleo, hata kama hakiongezi shibe wala afya"
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom