Ben Mkapa kanzu na barakhashia vimemkubali kiaina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ben Mkapa kanzu na barakhashia vimemkubali kiaina

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Aug 12, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Nasubiri apigwe ban na wenye mavazi yao! Te te te te, Benny!
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hili ni vazi si la watu fulani tu, ni vazi la ye yote anayelipenda. Kihistoria hili ni vazi la utamaduni wa watu wa mashariki ya kati ambalo limekuja kuwa kama vazi rasimi la dini za Kiyahudi, kikristo na Kiislamu.

  Ukiona wachungaji huko mashariki ya kati hata wasio na dini huvaa vali hili hata wawapo machungani kuangalia kondoo zao.
   
 4. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hili ni vazi la heshima sana, hakuna ambae anaweza kuva na lisimpendezi.
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Umenifurahisha sana Mwali.
  Wakumbuka Speaker Makinda alivyofalia Hijabu alipoenda kumpa pole Rais wa Zanzibar hivi karibuni kufuatia ajali ya meli, alibadilika na kuonekana kama si Makinda tuliyemzoea bali kijana mbichi tu.
   
 6. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  May be you are right! Nilitaka kusikia Ally Kombo atasemaje! Mkuu vazi hili linapendeza sana; je naruhusiwa kutinga nalo kwa church?
   
 7. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Kama Mheshimiwa Speaker wa bunge la Muungano wa Tanzania alivyotinga Ikulu ya Zanzibar na hijabu, vazi lina mvuto wa aina yake na kumbadili kabisa mwonekano wake.
   
 8. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Asante mkuu Candid Scope!
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kashiba ftari, tumbo juu juu
   
 10. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Kweli kapendeza kwa vazi lake japo hofu yangu ni ukaaji wakati wa kufuturu! Kwa kitambii chake kukaa jamvini na kukunja miguu nahisi itakuwa kazi ngumu kama ngamia kupita katika tundu la sindano...
   
 11. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Big Ben, kanzu imekaa mahala pake...
   
 12. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kama linapendeza kila mtu, basi tulichague liwe vazi la kitaifa!!!!
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Umesahau, na konyagi zimekaa mahala pake stahiki pia!!
   
 14. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Hamna kitu hapo bora angevaa kama alivyovaa mkuu wa mkoa.
   
 15. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  chinga one!
   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Aah wap! Alikuwa kama mchawi wa Mombasa
   
 17. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #17
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Acha kwikwi wewe...
   
 18. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #18
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Ukikutana naye usiku si unaweza kutoka nduki ukadhani umekutana na JINI?
   
 19. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #19
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Ni kweli linawapendeza na inaonekana bila shaka kuwa ni wazee wa ubwabwa wa kweli.
   
 20. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #20
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  kwa hiyo wewe ujuavyo, yeyote akivaa hivyo ni mzee wa ubwabwa?? ok, ila tu isije ikawa ni tusi au kijidharau fulani hivi. ni vazi zuri na linaenda na ustaarabu wa hali ya juu kabisa. ila kwa anayejua maana yake, kwa asiye jua sishangai kukejeli.
   
Loading...