Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,406
He!!!
Mambo ni mengi; muda mchacheHuu Mwaka nadhani utakuwa na mambo mengi sana. Hii ni February mambo ndiyo hivi... sijui hadi tufike December mambo yatakuwaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe haha mimi habari nilikuwa nasoma kwenye magazeti ya shigongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii dunia ni zaidi ya uijuavyo ndugu yangu; na ndio maana Waswahili wakasema, "ukiona njigi utadhani njege na ukiona njege utadhani njigi" na wengine wakasema, "vyote ving'avyo, usidhani dhahabu"! Kwa maana hiyo ndugu yangu isije yule unayedhani mume kumbe akawa ndie mke na yule unayedhani mke kumbe ndie mume mwenyewe; kwani dildo shi'ngi ngapi bhana!!!
Mbona huyo muolewaji ni mbaya zaidi ya bwana mwenywe sielewi nn kilichopendwa hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli kama ni matango tumeyalaShingongo alizidi kwa matango pori ila insta imemfunika saiv,kila habari tunazipata fasta bila yeye kutudanganya
Kama huna pesa hupati fursa ya kuchagua.Kweli nimeamini utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!!!
Kipendacho roho hula nyama mbichi
Kitanda usicholalia, hujui kunguni wake!
Adhabu ya kaburi, aijuae maiti
Siri ya mtungi, aijuae kata!
Lakini yote tisa, kumi ni "Pilipili usiyoila, yakuwashia nini!"
Huyo bibi harusi mbona kama mama dai domo au Mdogo wake?MTANGAZAJI maarufu Bongo, Ben Kinyaiya siku ya leo Jumamosi afunga ndoa ya kiserikali na mchumba wake wa siku nyingiView attachment 1024168View attachment 1024169View attachment 1024195