Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

Kweli nimeamini utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!!!

Kipendacho roho hula nyama mbichi

Kitanda usicholalia, hujui kunguni wake!

Adhabu ya kaburi, aijuae maiti

Siri ya mtungi, aijuae kata!

Lakini yote tisa, kumi ni "Pilipili usiyoila, yakuwashia nini!"
Baada ya kuangalia vizuri bibi harusi nikaelewa mana yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli nimeamini utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!!!

Kipendacho roho hula nyama mbichi

Kitanda usicholalia, hujui kunguni wake!

Adhabu ya kaburi, aijuae maiti

Siri ya mtungi, aijuae kata!

Lakini yote tisa, kumi ni "Pilipili usiyoila, yakuwashia nini!"
Hahahah imebidi nicheke tu maana ndio wazo limenijia kichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom