Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

Mbona Bwana harusi ni mrembo kuliko Bibi harusi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii dunia ni zaidi ya uijuavyo ndugu yangu; na ndio maana Waswahili wakasema, "ukiona njigi utadhani njege na ukiona njege utadhani njigi" na wengine wakasema, "vyote ving'avyo, usidhani dhahabu"! Kwa maana hiyo ndugu yangu isije yule unayedhani mume kumbe akawa ndie mke na yule unayedhani mke kumbe ndie mume mwenyewe; kwani dildo shi'ngi ngapi bhana!!!
 
Kweli nimeamini utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!!!

Kipendacho roho hula nyama mbichi

Kitanda usicholalia, hujui kunguni wake!

Adhabu ya kaburi, aijuae maiti

Siri ya mtungi, aijuae kata!

Lakini yote tisa, kumi ni "Pilipili usiyoila, yakuwashia nini!"
Kama huna pesa hupati fursa ya kuchagua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom