Ben Kinyainya na vituki

Ben Kinyainya na vituki

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
754
IMG_1897.jpg
 
Hili jamaa nasikia kuna watu wameechuma utajiri mgongoni mwake???
 
500tzs\ipo kuni gan kununua kugawa/ama bure??
 
Kuna machinga alikuwa anampitishia ili amnunulie mwenza wake!!!Hawa machinga huwa wankuja tu hasa ukijipumzisha mahala baada ya kupata msosi au kinywaji.sidhani kama kuna lingine hapo
 
Suveree Ben Kinyaiya Nambari Moko Fumu na Bao mtoto wa K'ndoni
 
ha ha haaaaaaaa!!! hawa wamachinga lol, wasione mtu amekaa bar!!
 
Jamani mbona anaeleweka kuuchuchumia utajiri@@
 
Back
Top Bottom