Umeona ee, full majanga.
Soma Ben 10 na Illuminati consipirancy
Nimejitahidi kumweka mbali mwanangu na huyu Freemason bila mafanikio.
Kila nikikanyaga home dogo ananiletea remote niweke Ben10 na kama hayupo ni kilio, alikomjulia sifahamu kwa kweli ila watoto wakishamjua wanakuwa addicted.
usiamini kila unachosikia/unachosoma na kuona,kuna watu ni magwiji wa kuandika na kugeuza chochote na ukakiona uwongo,
hapa anaweza akaja mtu akaanza zake kuhusisha neno watu8 na freemasons akamwaga mistari yake ya uwongo na ukaamini na ukajuta why umetumia id hiyo muda wote huo kumbe ni illuminati,
huko tunapoelekea atakuja mtu atashawishi watu kupanda magari ni ufreemasons, na atapata mabwege wengi:smash:
Ask me.......natafuta mahala nami nikanunua hizi items, maana sipumui kwa maombi yanayotolewa kila siku, japo picha anazo zakutosha...
umesha-watch The Secret?Mwanadamu kapewa free will ya kuchagua nini cha kuamini...
Kama wewe huamini na hutaki kuchunguza wengine waaminivyo haina shaka...
umesha-watch The Secret?
Imenifunza sana kuangalia vitu in a positive way....
Ben 10 is more than a cartoon...kuna vitu vidogo vidogo huwa inaviambukiza kwa watoto na imetengenezwa purposely...jambo usilolijua ni kama usiku wa giza na sisi Wamatumbi wengi ni wabishi tukielezwa kuhusu missions na visions za hizi Secret SocietiesBen 10 is just a cartoon. mimi simpendi kwa kweli na wala hanivutii kumwangalia.
Mtani hapo umejitetea hadi goti umepiga hahahahahaha......wengine kama akina mimi hapa ni love stories (siyo porn)....
ha haaa, kweli mtani maana wengi ukisema love stories wanaelekea huko.....Mtani sijawahi watch hiyo The Secret...is it a sort of an animation or ni muv ya kawaida?
Ben 10 is more than a cartoon...kuna vitu vidogo vidogo huwa inaviambukiza kwa watoto na imetengenezwa purposely...jambo usilolijua ni kama usiku wa giza na sisi Wamatumbi wengi ni wabishi tukielezwa kuhusu missions na visions za hizi Secret Societies
Mtani hapo umejitetea hadi goti umepiga hahahahahaha
Nina kama miezi minne hv mtoto wangu ananisumbua kuhusu hii kitu anataka movies au something animated ananipigia story ambazo nashindwa kuziconnect naomba mnisaidie jamani ni nn hii? Is it a cartoon? Or something else? Naweza kupata wapi details zake?
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Ask me.......
ha haaa, kuna kipindi nilimsumbuaje mdogo wangu Young Master na Ben 10? naona alihisi kama ujomba ndo huu basi tena
umemsoma mtani wangu watu8 ?Asikwambie mtu dada yangu. Ben 10 kitu kingine ati...yani hadi mimi Young Master imeuteka moyo wangu na kuuning'iniza kwenye bulb.
umemsoma mtani wangu watu8 ?
ha haaa, najua, ndo maana nikamwambia akusome, lol!Hahaha Young Master ni Wiz Kid, unadhani ataelewa hiyo lugha yangu kweli
kweny huu huu uzi, huko juuWapi hapo tena?
kweny huu huu uzi, huko juu
Amu! Kama uko tayari kuna rosti na ndizi mbili pale uwanja wa sanaa oposite na san siro anytime ni pmMtafutie ps3 ben10 imo ndani.
Pia mnunulie tshirt,bag glass,sahani,shuka ,taulo,posters pia photopoint mpeleke akapige picha na ben10.
Kubwa kuliko mtafutie saa ya ben10.
Inshort ben10 ndo habari ya mjini kwa watoto.
Kila saa kuweka reminder kwa tv ben10
Akili nashanganykiwa kapsa mleu! Nkiki! Sasa ninunue au nisinunue ?That stuff is going to spoil/ruin your kid...