Ben 10 ni nn?

maishapopote

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
3,507
Reaction score
6,455
Nina kama miezi minne hv mtoto wangu ananisumbua kuhusu hii kitu anataka movies au something animated ananipigia story ambazo nashindwa kuziconnect naomba mnisaidie jamani ni nn hii? Is it a cartoon? Or something else? Naweza kupata wapi details zake?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Ben 10 ni cartoon character kama vie samurai x, tom, jerry, coyote, Road Runner, Silvester, Tweety, Dexter, Deedy, Micky Mouse na wengineo
 
Ben 10 ni cartoon character kama vie samurai x, tom, jerry, coyote, Road Runner, Silvester, Tweety, Dexter, Deedy, Micky Mouse na wengineo
Mkuu thanks


Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
 

Attachments

  • ben-10-510x382.jpg
    33.6 KB · Views: 488

Ni cartoon watoto wanaipenda sana, ni kama vile substitute ya superman enzi hizo. Posters zake hata mitaani chinga wanauza, pia nembo zake ziko kwenye mabegi ya shule, stickers n.k. Dogo nilimwekea poster kubwa chumbani kwake naona siku ya kwanza hata hakulala...alifurahi sana...! Some photos attached of Ben 10
 
 
Thanks mkuu nitazitafuta meku aika mbe !


Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Mtafutie ps3 ben10 imo ndani.
Pia mnunulie tshirt,bag glass,sahani,shuka ,taulo,posters pia photopoint mpeleke akapige picha na ben10.
Kubwa kuliko mtafutie saa ya ben10.
Inshort ben10 ndo habari ya mjini kwa watoto.
Kila saa kuweka reminder kwa tv ben10
 

...mwambie bila kusahau Mask ya Ben10.
 
ben 10 ni katuni nzuri watoto wanaipenda,

vivle ben 10 kuna game yake kwenye ps2 na ps3

sasa hapo huenda anataka game yake acheze au cd aangalie tu, ,

kama ni game inabidi unune hizo ps2 au ps3, kisha ununue cd ya game ya ben 10
 
Nimejitahidi kumweka mbali mwanangu na huyu Freemason bila mafanikio.
Kila nikikanyaga home dogo ananiletea remote niweke Ben10 na kama hayupo ni kilio, alikomjulia sifahamu kwa kweli ila watoto wakishamjua wanakuwa addicted.
 
Hata Mie yalinikuta hayo naambiwa Ben 10 sijui ni nini sasa Xmas ndio ilikua Kero mama Mtu ikabidi anunue saa tishet na vitu vya shule
 

Ila kama anataka mtoto aconcetrate na shule hii ps3 aichunie kwanza mie tu mtu mzima bado inanipelekesha puta naamini mtoto ndo itakua worse cz hajitambui
 
Mi ninawatoto mapacha, mwakahuu walianza chekechea, wakaniambia niwanunulie Ben 10, na mimi sijui ni kitugani, kube ni bag la shule, chezea watoto wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…