Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,600
- 6,721
Bila shaka atakuwa kajipanga sasa.Kuna nyimbo zake 3 za mwanzo huwa nikiamua kuzisikiliza hazinichoshi - Masogange, Sumu ya Penzi, Unanifaa.
Dogo yuko vizuri sana.
Bila shaka atakuwa kajipanga sasa.Kuna nyimbo zake 3 za mwanzo huwa nikiamua kuzisikiliza hazinichoshi - Masogange, Sumu ya Penzi, Unanifaa.
Dogo yuko vizuri sana.
Kipaji anacho tatizo management mbovu kule WCB wako vizuri wamejipanga kisasa zaidi na kufikisha mziki mbele.Kwanini mkuu?
Nimesikia ana management mpya sasa hivi pengine ndio maana tunamsikia sikia. Kudhaminiwa na kampuni kubwa si mchezo.Kipaji anacho tatizo management mbovu kule WCB wako vizuri wamejipanga kisasa zaidi na kufikisha mziki mbele.
Alianza vizuri sana aisee..Inasikitisha kuona Masogange ni maarufu kuliko Belle9 Teh