Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,353
Belarus ni nchi iliyo mashariki mwa Ulaya, imepakana na Poland, Urusi, Ukraine na Lithuania. Ina jumla ya raia takriban 900,000 na mji wake mkuu ni Minsk.
Alexander Lukashenko ni Rais aliyetawala Belarus tangu 1994. Katika utawala wake wapinzani wake wamepitia mateso makali sana. Ikiwemo kufunguliwa mashtaka yasiyo na dhamana na kukaa magerezani kwa muda mrefu. Wengi wa wapinzani wa Lukashenko hupoteza maisha. Belarus ni nchi pekee Ulaya ili akiwa hukumu ya kifo.
Mwanzoni mwa mwaka huu, Belarus ilifanya uchaguzi mkuu. Mmoja wa waliosimama kama mpinzani wa Lukashenko ni mwana mama mmoja, mke wa mpinzani wa Lukashenko ambae mume wake yuko gerezani kwa muda mrefu. Wengi wanaamini kuwa mwana mama huyu ndiye alishinda uchaguzi lakini hakutangazwa.
Kumekua na maandamano yasiyo na ukomo ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu. Wiki iliyopita maofisa wa ubalozi wa Uingereza walirudishwa nyumbani akiwemo military attaché kwa kosa la kuwalinda wananchi waliokua wanaandamana mjini Minski. Kwa kujibu mashambulizi 10/11/2020 Uingereza imemrudisha balozi wa Belarus London nyumbani. Uingereza imeshaiwekea Belarus vikwazo vya kiuchumi.
amp.theguardian.com

UK expels Belarus diplomats in tit-for-tat move
Foreign Office retaliates after expulsion of British diplomats following protests in Minsk