'Beki tatu niliyemnyang'anya simu: Part 2 yake!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Yule 'beki tatu' niliyemnyang'anya simu, jana alimweleza mama yake mzazi kwa nini siku hizi mawasiliano yamekuwa magumu, na kwamba sisi tunaomtunza ndo tumekuwa tukiwasiliana na mama yake tofauti na zamani. Baada ya 'beki tatu' kumaliza maongezi na mamake, mama mtu alinipigia simu.

Ktk maongezi yetu mama wa 'beki tatu' kwanza ametuambia tumefanya vyema kumpora hiyo simu, kwamba hata kwao huwa anasumbua kuongea na simu usiku wa manane wakati 'family members' wengine wakiwa wamelala. Kwamba walijaribu kumchimba mkwara hakuwahi kuwasikia. Amenishauri nishikilie uzi huo huo hadi hapo atakapotia adabu.Sio siri tumefarijika sana, maana tulihisi pengine wazazi wangemaindi kumbe ni kama tumewasaidia.

Nilipenda kuwashirikisha, maana mlisema mengi-'positively and negatively'!
 
Anza kutafuta mtu mwingine wa kukusaidia kazi mapema. nimeota huyo uliye nae atakukimbia hivi karibuni. yaani umevuka mipaka hadi ukaanza kumchonganisha na ndugu zake!. inaonekana unamdharau sana. jua unayo mtendea anayaona. pole sana. over
 
Kuongea na mama yake na kufurahia ushauri uliopewa na mama yake haukufanyi wewe kuwa katika nafasi nzuri ya kuishi na huyo h girl wako.Ninachokiona kwako si siku za majuto ambazo utakuja jutia kutokumpa simu housegirl wako na utarudi hapa kutuambia maana tangu umeanza mchakato wako na huyo hgirl wako bado hujapata hasara zaidi ya faida.
Bado sijaona mantiki ya wewe kutompa hgirl wako simu.
 
nna wasiwasi na kichwa chako nakama unaelewa unachokiongea ktk hili
 
Kuongea na mama yake na kufurahia ushauri uliopewa na mama yake haukufanyi wewe kuwa katika nafasi nzuri ya kuishi na huyo h girl wako.Ninachokiona kwako si siku za majuto ambazo utakuja jutia kutokumpa simu housegirl wako na utarudi hapa kutuambia maana tangu umeanza mchakato wako na huyo hgirl wako bado hujapata hasara zaidi ya faida.
Bado sijaona mantiki ya wewe kutompa hgirl wako simu.

hilo nalo wazoooo!
 
u haius geli ni kazi ya kitaaluma, sema na yenyewe imevamiwa na vihiyo wanaofoji vyeti vya chuo kikuu cha mahausigeli kilichopo mkoa wa wala dogg style na wazee wa kuvaa tai (kujinyonga) IRINGA
 
dyoko na h/girl wako banasiku ukimtokea pia utuambie pia nadhani itakuwa part 3tunasubiri
 
Back
Top Bottom