Prince Dos Santos
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 1,047
- 1,326
Shetani alikuwa na adventure ya kukupitia mkuu ! Mshukuru wife wako ! Teh teeh teh teh !
Kweli, alikurupuka. Mambo yao wanashirikishwaje wazazi? Kwani wazazi walikuwepo wakati wa makubaliano ya kuoana?Mkeo hakutakiwa kuhusisha wazazi katika hilo
Huyo ndio shetani wanayemsemaga. Usifikiri kuwa shetani anakuwaga kwenye tukio akilazimisha kufanywa ushetani!Shetani hakuwepo mkuu mengine huwa tunamsingizia tu.
Pale ni uchu wangu wa kula papuchu tu ndio iliniondolea akili na maarifa
Wakati naingiza kidole hakukiona mkuu.Kosa lako ni.kukimbia. Umethibitisha ulikuwa na nia ya kuzini. Nenda na macho makavu mwambia ungetaka kuzini nae usingeingiza kidole
Mkuu R Mbuna ulishawahi kushiriki comedy? Mkuu yaani unavyojibu humu ndani utafikri Wakukurupuka!!Nasubiri hapa nimalize kazi zangu nirudi ila nawaza sana jinsi ya kuongea mbele ya wazazi. Aibu sana yaani angekuwa ni demu tu ningesepa mazima.
Sijawahi mkuu kushiriki comedy.Mkuu R Mbuna ulishawahi kushiriki comedy? Mkuu yaani unavyojibu humu ndani utafikri Wakukurupuka!!
. Yaani jana nimelala lodge bila kupenda. Na leo sijui hatma yangu ni nini?
Kama ni urijali wa ukwel ukwel kwa huo mkao lazima kwel kichwa cha chini kichukue hatamu,hakuna namna mkuu,ila rudi ukiwa umeemea mazaga mazaga na mazawadi kadhaa wa kadhaa,umwambie haitatokea ukamsaliti na ile ulikuwa ni mchezo tu il ujue kama kwel anakupenda kwa dhat,na iktokea ikawa kwel atachukua maamuz gani,kataa kabisa mkuu usikubali huku unamwambia ikiwezekana kwa ukali anakudharilishaHakuwa na chupi halafu alikuwa amechanua mapaja kabisa so nilikosa ujasiri mbele ya wife.
Huyu mwenzetu katuaibisha mno, angekua karibu angekula bakora...
Ni bora mwanaume anaye kuchepukia mbali kuliko anaye chepuka na binti yako, yes japo hujamzaa ila ma house girl wengi tunawapokea katika umri Mdogo na wengine hata kubalehe bado tunawakuza wenyewe na hata kupendeza wanapendezea kwetu! Kwanini sasa mwanaume akutukanishe kwa kutembea na binti uliyemfunza mwenyewe?Acha woga bibie ingelikua rahisi hivyo basi asilimia 90 ya ndoa ungekuta zishavunjika kwa talaka.
Sipigii chapuo uzinzi ila kiuhalisia haya mambo yamewakuta wanandoa wengi, kinachotakiwa ni uvumilivu na mwanaume kukiri kosa na kuheshimu mke na familia yake.
Ukifika home mkuu utupe kitakachojiri!!Sijawahi mkuu kushiriki comedy.
Ila upstair leo sipo vizuri kabisa nadhani nikitulia nakufuatilia hizi comments za wadau na zangu nitajua kama kulikuwa kuna comedy au serious issue.