Being Single Is Now a Disability, According to the World Health Organization

Being Single Is Now a Disability, According to the World Health Organization

Kasie nakukubaliii jinsi unavyo nyumbulisha vishazi na vivumishi huku ukigusa nahau mbili tatu..haaaaaa

Asante ila simfikii Dadii kwa uchamuzi na unyambulishi wa lugha kwa kutumia viunganishi vyote vya lugha.

Dadii ndo mwalimu wangu, amenifumza mambo mengi tuu.
 
Asante ila simfikii Dadii kwa uchamuzi na unyambulishi wa lugha kwa kutumia viunganishi vyote vya lugha.

Dadii ndo mwalimu wangu, amenifumza mambo mengi tuu.
Haaaaaaaa kumbeee, hongera kupata Dadiii na mwalimu wako wa kunyambulisha na kukitendea haki kiswahili!! Ila uwepo wako humu huniburudisha sanaaaaa
 
Ngoja nianze kudai Disability Benefits zangu
 
nadhani watakuwa sahihi kwa namna moja ama nyingine lakini wasiwasi wangu ni kuwa kesho watasema kuwa na mpenzi mmoja ni ulemavu
 
Hawa wadhungu Sasa ni machizi walahi
 
Back
Top Bottom