Being Single Is Now a Disability, According to the World Health Organization

Being Single Is Now a Disability, According to the World Health Organization

Now you are talking, sio unabaki kumlilia mwanamke kama espy. Kwani hukuwahi kujiuliza umemkosea nini Mungu hadi akakupa mwanamke kama huyo? Wewe unahitaji wanawake tuliotulia kama sisi hapa
Wacha bwana.
 
Now you are talking, sio unabaki kumlilia mwanamke kama espy. Kwani hukuwahi kujiuliza umemkosea nini Mungu hadi akakupa mwanamke kama huyo? Wewe unahitaji wanawake tuliotulia kama sisi hapa
Sawa Shem kwa hiyo nimuache huyu Mke wangu niliyemtoa bikra japo roho inauma Shem naomba unipe tulizo la moyo wangu
 
Mwenza kizuri kula na nduguyo, kohoeni tu.
Ndio maana nakupenda laazizi, ukaona si vyema niwe peke yangu unitafutie msaidizi. Nami nampokea Thad kwa mikono miwili nasi si watatu tena bali tu mwili mmoja sasa.[emoji813][emoji813][emoji813]
Huu upendo wako unanipa mashaka[emoji848]
Japo nampenda wacha tu nikuachie mimi nibaki na ulemavu wangu
 
Remember when you promise yourself that no man/woman will touch you till you get married??? just Look at yourself now [emoji23][emoji23][emoji23]
I do remember and am keeping that promise
 
Andunje cheusi usimwogope hana effect.
Kenyewe kanachoweza ni kuzusha zusha mambo na uambaruti. Ndio maan nimekakimbia ka Inna
Akinithibitishia hili pasipo shaka, nitakutunuku mtima wangu[emoji6]
 
Sawa Shem kwa hiyo nimuache huyu Mke wangu niliyemtoa bikra japo roho inauma Shem naomba unipe tulizo la moyo wangu
Muache njoo upate pumziko huku kusiko na mawaa
 
Weeh nani kasema, niko singo na nakunywa uji kama kawaida. Sasa mfano mie nimepewa uwezo wa kubeba mizigo mizito ya kila namna, nikiaa bila kupata hayo mambo itakuwa tabu sana.
Haaaaaaaaa unaitendea haki fasihi na nahau zake
 
Njoo Shem wangu wangu huyu Mke amenikataa
Nanukuu
Mwanamke mjinga huaribu nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe
Njoo tupeane raha Bby
Woow ndani kabisa ya uvungu wa moyo wangu baby chukua kiti ukae ukitaka lala kabisa
 
  • Thanks
Reactions: wax
Muache njoo upate pumziko huku kusiko na mawaa
Asante Sana my Bby Daaah ulikuwa wap muda mrefu hivi Bby nateseka hiv?? Yaan saiv full rahaaa @ espy Njoo uone navobebishwa huku
 
Back
Top Bottom