Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,950
- 183,452
Ni wewe tu kipenzi cha moyo wangu, mume wa ujana wangu. Si unajua vile nakupenda eeeh😍😍Unawanaume wangap wewe mwanamke niweke wazi Leo
Ni wewe tu kipenzi cha moyo wangu, mume wa ujana wangu. Si unajua vile nakupenda eeeh😍😍Unawanaume wangap wewe mwanamke niweke wazi Leo
Kwa nn unanitesa hivi honey?Honey what are you doing in here?
Umepeleka wapi mawazo kwani baby?Hahahaha... you're nuts!!
Mngejua wanaume tunapeleka wapi mawazo yetu tukosoma hivi..dah!!!
Daaah Mke Wang umeanza lini kuchepuka?? Huyo Eli79 ni nan? Mbona nakuheshimu Sana Mke Wang lkn unanifanyia hivi au unataka na mimi nichepuke??Ni wewe tu kipenzi cha moyo wangu, mume wa ujana wangu. Si unajua vile nakupenda eeeh[emoji7][emoji7]
SitakiHutaki au unakataa mwenza?
Chepuka na wewe shemeji hakuna namnaDaaah Mke Wang umeanza lini kuchepuka?? Huyo Eli79 ni nan? Mbona nakuheshimu Sana Mke Wang lkn unanifanyia hivi au unataka na mimi nichepuke??
Khantwe wangu hutaki nini?Sitaki
Shem sipend dhambi mimi huyu Mke wangu inaonyesha mapenz kwangu yameisha halafu ni Mke wa ujana wanguChepuka na wewe shemeji hakuna namna
Hapo ndo unapofeli Shem, mwenzio keshajua huwezi kumuacha basi anakupeleka mchakamchaka hadi ukomeShem sipend dhambi mimi huyu Mke wangu inaonyesha mapenz kwangu yameisha halafu ni Mke wa ujana wangu
Halafu Bible inatuhasa usimwache Mke wa ujana wako sasa Mi sitak kumuacha tumetoka mbali Sana nlimkuta bikra kabsaa
Kuna mtu ameniita mi mlemavu wakati mimi nipo na wewe sasa ulemavu wangu uko wapi hapo jamaniKhantwe wangu hutaki nini?
Daaah Shem nisaidie hili jahaz kabla halijazamaHapo ndo unapofeli Shem, mwenzio keshajua huwezi kumuacha basi anakupeleka mchakamchaka hadi ukome
Mimi nitakusaidia ukisema unataka kulizamisha shem noti azawaiz[emoji23][emoji23]Daaah Shem nisaidie hili jahaz kabla halijazama
Inamaana na wewe umeshalemaaserikali iingilie kati tunaumia sana
Hahah ila bado wewe ni mlemavu mpaka unionjeshe tundaKuna mtu ameniita mi mlemavu wakati mimi nipo na wewe sasa ulemavu wangu uko wapi hapo jamani
Mimi huyuhuyu!! Siwezi kukutesa mpenzi.Kwa nn unanitesa hivi honey?
Haujaacha tu uchawi?Mimi nitakusaidia ukisema unataka kulizamisha shem noti azawaiz[emoji23][emoji23]