Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,818
Wao ndio wamesababisha kizazi cha sasa hivi hakieleweki sababu ya mambo yao ya haki sawa, sijui utandawazi na maisha ya kisasa kwa ujumla.....
Miaka ya nyuma haya mambo hayakuwahi kuwapo kwa kiwango kikubwa hivi.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka ya nyuma haya mambo hayakuwahi kuwapo kwa kiwango kikubwa hivi.....
Sent using Jamii Forums mobile app