Being Single Is Now a Disability, According to the World Health Organization

Being Single Is Now a Disability, According to the World Health Organization

Sina best, niunganishie kwa mshikaji wako hata mmoja basi [emoji13][emoji13]
Mi nikajua ulemavu unaozungumziwa hapa ni ule ulemavu wa kile kiungo pendwa.
Basi hapa mi sihusiki kwa kweli.
 
Kwa hiyo rafiki we ni mlemavu wa kile kiungo?
@Khwante nshasema hii thread hainihusu kwa kweli labda kama itafunguliwa thread nyingine inayohusu ulemavu ila sio hii[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Aisee
 
Mimi napendekeza walemavu tusaidiane kwanza sisi wenyewe kwa kuoana ili wanaobaki ndio wasaidiwe na serikali
na mimi napendekeza
sisi wawili tuondoke kwenye ulemavu
 
Back
Top Bottom