Being a wife material sucks

Ukishamaliza kuomba mungu akupe mume bora oga,vaa kisha toka nje uonekana na hao potential suitors,we unadhani watakuja kimiujiza tu mpaka ndani kwako,lazima usocialize
 
Wenye sifa hizo wengi huwa wanajifanya wapo serious sana hata ukimsalimia tuuu mfyonyooo utakao pata kama umemshika kwenye nani bila ruhusa ake! Ndo maana wanaume huwa hatupendi kutongoza demu anae jifanya yupo serious Kama Anafanyia kiwanda cha sumu

pili wengi wao wasifa hizo huwa na dharau sana unaweza omba nmba ake ya simu pengine siku hio smartphone ako iphone six imeisha charge ukawa na nokia tochi unampa aandike namba anaivunja au anaidondosha kwa dharau kwamb hawezi kuandika namba kwenye nokia tochi

Hapo ndo anapo jikuta miaka inaenda na haolewi akija kushtukia ana miaka 27 mara 30 anaanza kutwerk kila mtaa wakati huo anakuta mtaa wote wanaume wameoa

Atalazimisha kwa kukaa nusu uchi sasa kama sio msomi na asitongozwe

Kikubwa dhRau haifai
 

mpuuz mkubwa wewe, ndio ujinga wako huo? u will catch damn stipid
 
Uvumilivu umemshinda, she has decided to go back to her real self
 

I hardly comment on such topics, but whoever you are jiheshimu dada a beautiful woman has a lot to loose compared to a man akiamua kucharuka, do not make rash decisions out of desperation,anger or despair.

"A key that can open many locks is called a
master key, but a lock that can be opened by
many keys is a shitty lock."
 
Wife material hawajisemagi.
Ni macho ya mwanaume anayehitaji kuoa ndo anajua atakuoa au lah.
 

nisamehe kwa ku-quote post yako....nimekosa kitufe cha "like"....kwahiyo nimechukua nzimanzima ili nikupe hiyo like live na jf yote ijuwe nimekupa like...1000 times.
 
nisamehe kwa ku-quote post yako....nimekosa kitufe cha "like"....kwahiyo nimechukua nzimanzima ili nikupe hiyo like live na jf yote ijuwe nimekupa like...1000 times.

Ha ha ha! Asante mkuu, tunaelimishana tu.
 

Duuuu umegusa mule muleeeee
 
Tatizo mwanamke akishakuwa classy,educated ,financially gud maranying huitaji mwanaume wa level ya juu yake au atleast kama yake.but kwetu wanaume linapokuja swala la kuoa tunakuwa watulivu kido na tunakuwa not biased na status ya mtu bcs tunaamin mtu hakuzaliwa awe of low status but n maisha 2 tunamwendeleza anakuwa classy.but kwa mwanaume kuishi kwenye nyumba ya mwanamke kuna indirect price.
Mwanaume classy ni rahis kuoa mwanamke of low status but vice versa is not true.
Ondoa hyo biase kuna wanaume wa nakupenda ukwelii lakin wapo pangon.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…