Kweli kabisaDaah mimi ningepataga king'amuzi chenye Channel za movie tupu masaa 24 ingekuaga mzuka sana.
Hizi Azam na Dstv Decorder zao nimekua nazo lkn ni bure tu.
Siku hizi inabd nilipie huko NETFLIX tu mkuu,sina namna tenaKweli kabisa
PoleSiku hizi inabd nilipie huko NETFLIX tu mkuu,sina namna tena
Thnxs mkuu.Pole