*Beijing Olympics 2008*

Inaonyesha kuna mkono wa China kwenye zile nguo walivaa ,ukiwatazama waChina mashati yale ya manjano wameyavaa kwa ndani na wengine waliokuwepo mbele wameyavaa kama wenzetu wa Tanzania.Kumbe Zanzibar wamewavuta wachezaji wao nje ya Olympic baada ya kutotambuliwa.Ndani ya Timu ya Tanzania hakuna Mzanzibari hata mmoja ,ndio nikaona kuwa hata sasa Tanganyika wameamua kujiondoa kwenye Tanzania.
 
Inaonyesha kuna mkono wa China kwenye zile nguo walivaa ,ukiwatazama waChina mashati yale ya manjano wameyavaa kwa ndani na wengine waliokuwepo mbele wameyavaa kama wenzetu wa Tanzania.Kumbe Zanzibar wamewavuta wachezaji wao nje ya Olympic baada ya kutotambuliwa.Ndani ya Timu ya Tanzania hakuna Mzanzibari hata mmoja ,ndio nikaona kuwa hata sasa Tanganyika wameamua kujiondoa kwenye Tanzania.

Mwiba...

Mimi nachukulia kiongozi yeyote ambaye ana-advocate kuzungumzia mambo ya Tanganyika na Zanzibar ni kwamba hana jipya... nina uhakika priority ya watanzania maskini wale wa chini shida yao sio serikali yao iwe ya namna gani bali ni namna gani uchumi wao utaimarika...

Kwa mfano... Shamhuna ni mtu ambaye alishindwa hata uchaguzi wa NEC yao tena kutoka Zanzibar... sasa ana-agenda gani zaidi ya zile za miaka ya 47!

Olympic tumeenda kutalii tu... kama ni uongo waandishi wa habari naomba wawachokoze jamaa kuhusu sherehe za ufunguzi watakaporudi etc.
 
Bwa we Kasheshe hebu nipumzishe kwanza na kucheka bana......meeeeeeeeeeeeeeeen...... Bush in the haus kwenye openings za olimpics, where is Jakaya

jakaya akafanye nini? yeye anasubiri safari yake ya marekani, hizo sio muhimu.

shangaa na wanamichezo kuvaa manjano, wakati ni rangi yenye nafasi ndogo kabisa kwenye bendera na pia madini hayachangii chochote kwenye uchumi wetu sasa! au ndio rangi za chama??
 
Hata Wamarekani wamesifia Wachina kwamba wako juu...


BEIJING, China (CNN) -- Fireworks, athletes and pageantry on a scale never before seen in the Olympics opened the Summer Games in Beijing on Friday, as the Asian nation kicked off the biggest and most scrutinized Games in history.
Fans celebrate the Opening Ceremony of the 2008 Olympic Games in Beijing, China, on Friday.

Fans celebrate the Opening Ceremony of the 2008 Olympic Games in Beijing, China, on Friday.
Click to view previous image
1 of 3
Click to view next image
more photos »

Chinese President Hu Jintao declared the the Olympics officially open, retired Chinese gymnastics champion Li Ning was carried through the air to light the Olympic cauldron and pyrotechnics exploded throughout Beijing as the crowd of 91,000 at National Stadium cheered wildly.

It was a stunning display from the nation of 1.3 billion people. Some media observers believe the Opening Ceremony may be the single most watched television event in history.

IOC President Jacques Rogge spoke of China's long-held ambition to host the Olympics. "Tonight, that dream comes true," he said. Rogge mentioned the Sichuan earthquake, saying the world was moved "by the great courage and solidarity of the Chinese people."

Emotion was high as Friday's Opening Ceremony not only officially started the Summer Games, but also was a symbolic expression of a nation seeking its place as a global superpower.

The ceremony began at 8 p.m. local time (8 a.m. ET) on the eighth day of the eighth month of 2008 -- that, in a country where eight is the luckiest number. The opening was an artistic mix of performance and light depicting China's 5,000 years of history.

Fireworks shot off across the Chinese capital as thousands of drummers, acrobats, martial artists and dancers performed under a light display at the National Stadium.
Don't Miss

* Blog: Grannies groove to Olympics
* Bush stresses free speech on Olympics eve
* Chinese Islamic group threatens Olympics
* Special: Beijing 2008
* iReport.com: Send video, photos to Beijing Fan Zone

Children representing each of the 56 ethnic groups in China marched out into the stadium, also called the "Bird's Nest" because of its unique appearance.

Dancers merged with objects that depicted China's ancient Silk Road, its Great Wall and ancient imperial past. Acrobats swirled around a giant sphere, depicting China's ambitions in space. Video Watch why the Olympics mean so much for the Chinese »

Delegations from Afghanistan, Taiwan, North Korea and the United States were welcomed by huge cheers. But the loudest roars were saved for the Chinese participants. Waves of emotion greeted China's delegation as it entered National Stadium, led by flag bearer and basketball superstar Yao Ming.

U.S. President George W. Bush was joined by Russian Prime Minister Vladimir Putin and more than 100 heads of state, heads of government and sovereigns expected to attend, the International Olympic Committee said.

The joy in Beijing was countered by grave news in Europe. As the Opening Ceremony was under way, Georgia's president said that his country was under attack by Russian tanks and warplanes. While in Beijing, Bush and Putin met to discuss the conflict in Georgia.

Earlier Friday, the anticipation over the Beijing Olympics was unmistakable in China's capital city. Thousands were on hand early at Beijing's Tiananmen Square to witness the traditional flag-raising ceremony by soldiers of the Chinese People's Liberation Army. Blog: Anticipation at fever pitch

This version of the Olympics brings with it controversy, discord that began in 2001 when the 2008 Games were awarded to Beijing. Criticism over China's policies on human rights for its citizens, its policies in Tibet and the persistent pollution across the country have been the focus of much international scrutiny and media attention. Video Watch protests in Germany over China's Tibet policies »

For some world leaders, the decision to attend was a tough call. French President Nicholas Sarkozy threatened to boycott the Games because of human rights abuses in Tibet, but later changed his mind.

"It's inevitable that people from different countries may not see eye to eye," President Hu said recently, "so we should try to expand our common ground on the basis of mutual respect."

Political leaders do not attend Olympic opening ceremonies as a matter of protocol -- Bush is the first American president to attend them outside the United States -- but China seemed determined to have as many there as possible.

"They want those leaders to confirm the fact that China has returned to great power, prominence in the world," said David Zweig, a political analyst at Hong Kong University of Science and Technology.

"They really want to say to the people of China that we, the Communist party of China, have done a great job." Video Watch why China has invested so much in the Olympics »

As for the Games, an estimated 10,000 athletes from 205 countries will compete in 28 events for about 300 gold medals. The first medals will be awarded on Saturday, and China hoped to claim the first gold of the Games. See a timeline of moments to watch for »

The Olympics will offer plenty of drama. China has put a priority on finishing first in the overall medal standings. Government officials have said they expect nothing less than a repeat gold medal from 110-meter hurdler Liu Xiang. Video Watch how pressure is building for the athletes »
advertisement

On Sunday, swimming competition begins, along with U.S. swimmer Michael Phelps' quest to win eight gold medals -- more than any individual in a single Games. Even if he fails, Phelps could become the all-time leader in gold medals.

Also on Sunday, an early showdown in basketball, as the U.S. basketball team led by stars Kobe Bryant and LeBron James faces host China and NBA all-star Yao Ming. Video Watch an exclusive CNN interview with Yao »
E-mail to a friend E-mail to a friend
Share this on:
Mixx Digg Facebook del.icio.us reddit StumbleUpon MySpace
| Mixx it | Share

CNN's Kevin Drew and Emily Chang contributed to this story.

All About Olympic Games • Beijing • China
 
jakaya akafanye nini? yeye anasubiri safari yake ya marekani, hizo sio muhimu.

shangaa na wanamichezo kuvaa manjano, wakati ni rangi yenye nafasi ndogo kabisa kwenye bendera na pia madini hayachangii chochote kwenye uchumi wetu sasa! au ndio rangi za chama??

hapo tayari kuna siasa....rangi za CCM hizo kaka
 
the Opening was just amazing...The message I got was "we once were the most poweful nation and we are coming back"
Nawasubiri waingereza 1012 nao watuonyeshe hapa historia yao ya kuwatumikisha na kuwachapa babu zetu viboko kisha kukomba maliasili zao
 
olyTanzania3.jpg


Fabian Naasi akiwakilisha Team Tanzania ndani ya "bird's nest" (jina jingine la huo uwanja)

Chini picha zaidi za uzinduzi:

oly12.jpg


oly13.jpg


oly14.jpg


oly15.jpg



Congo ndani ya uwanja:

olycongo.jpg


Nadal ndani ya uwanja (keshakuwa seed nambari moja tayari huyu :)) :

olyNadal.jpg
 
kweli China wameenda mbali. naamini Ulaya wam appreciate kwamba China is a really challenge sio siri.kwa wale ambao hamkuona ufunguzi huu mmekosa kitu tafuteni backup mkaangalie.Sidhani kuna nchi itafikia kiwango cha namna hii Cha sherehe za ufunguzi.
 
Kwa mazingaombwe yale ya jana huko uchinani,usipokubali wewe una lako.Nilimwona Joji Kichaka akishangaa mambo ya Wachina. Tumezoea kuwaona Wachina wafupiwafupi,jana walikuwepo warefu kibao kwenye zile sarakasi zao. Siku bongo itaandaa kushinda hiyo ya jana pale dodoma.
 
...waingereza wanatarajia 41 Gold Medal, (ndiyo, arobaini na moja za dhahabu), waethiopia wanatarajia 7 Gold medal, (saba za dhahabu), sisi wa Tz sijui matarajio yetu ni yapi wallahi, maana kisingizio cha kushiriki tu, mie mnh :( maana bingwa wa Olimpiki anadumu miaka minne, si mchezo!
 
Kwani hao ni wana michezo au ni genge la Wahuni fulani wenye nasaba na kundi la mafisadi ndani ya Tanzania?

Siyo michezo inayo tutia aibu.

Nenda kule Bacelona Spain ukaone Aibu inayoendelea huko katika maonyesho ya biashara ya kimataifa chini ya Uongozi nyanya wa BET.

Michezo tunashindwa pengine kwa sababu rais hajatia miguu yake kwenye hilo.

Kwenye Biashara pia tuna pwaya kishenzi.
MH Vasco Da Gama anadai anazunguka kila Kaya Duniani ili kuimarisha Biashara.

Lakini kule kwenye Maonyesho ya kimataifa Bacelona BET chini ya Uongozi wa rafiki yake mla mchunga Meneja wa Zamani wa RTC inabuma kishenzi.

Maonyesho yameanza zaidi ya mwezi ulo pita lakini macontainer ya washiriki toka Tanzania bado yamekwama Bandarini huko Spain Kisa! Mkurugenzi wa BET katia ndani fedha ya kukombolea.

mwezi wa 7 jamaa aliulizwa kwa nini hatilii umuhimu maonyesho ya Biasghara ya kimataifa sambamba na wito wa rais wa kuimarisha biashara ya nje??

Jmaa alivyo mbumbu alijibu sasa hivi ni Bize na sabasaba niulizeni baada ya saba saba kwisha.
Nilidhani ukiwa Director ni lazima uwe Multtask guy, yaani kuendesha mambo mengi kwa wakati mmoja.
Ukisubiri jambo moja liishe ili uanze jingine katika levele ya ukurugenzi hilo shirika unaliongoza si litaelekea kaburini au litaendelea kuishi kwa ruzuku na neema ya aliye kuchagua??

Hivi kumuweka meneja aliye shindwa uendeshaji wa Duka la Bidha muhimu enzi zile, la RTC, kuongoza BET ni kuongeza juhudi za kuimarisha biashara za Kimaifa au ni kuzipeleka kuzimu??

Unajua wakati mwingine MH Kikwete anakuwa kama vile pale UDSM alikwenda semina tu shule aliwaachia wengine waendelee kusoma!

Hii aibu ya Timu yetu ya Olympic huko China inatuandama vizuri sana huku ughaibuni.

Jamaa zangu Wamarekani wameniuliza kama wanamichezo wenu wanavaa T shirt za njano Magay na malesibian wa kwetu wanavaa nini???!!
 
wameitangangaza nchi /utamaduni/ historia yao vilivyo!
iko siku tutafika watanzania!kila kitu ni nia na ubunifu!
 
wameitangangaza nchi /utamaduni/ historia yao vilivyo!
iko siku tutafika watanzania!kila kitu ni nia na ubunifu!

...oyeeaah? ...kuitangaza nchi kwa kushiriki tu na kurudi nyumbani bila hata medali ya shaba wakati tunazungukwa na Wakenya na Waganda wenye matarajio/uhakika wa medali angalau moja ya Dhahabu?

...Ni waKenya hao hao ambao walitolewa jasho miaka kwa miaka na kina Filbert Bayi, Ikangaa, na Shahanga? bila kuwasahau kina Mlundwa, Isangura, Nassor Michael na Mwangata?

Lazima nchi iwe na malengo, hata kama ni Medali moja ya Shaba, ndio maana Olimpiki ni kila baada ya miaka minne ya kujiandaa/kumuandaa mshiriki.

Wenzetu bila medali ni skendeli, AIBU! ...Huenda Nchi yetu haina NIA ya medali, ila ushiriki tu, ndio maana hata viongozi wa msafara ni wengi kuliko wachezaji.


...(Barcelona) Maonyesho yameanza zaidi ya mwezi ulo pita lakini macontainer ya washiriki toka Tanzania bado yamekwama Bandarini huko Spain Kisa! Mkurugenzi wa BET katia ndani fedha ya kukombolea.

mwezi wa 7 jamaa aliulizwa kwa nini hatilii umuhimu maonyesho ya Biasghara ya kimataifa sambamba na wito wa rais wa kuimarisha biashara ya nje??

Jmaa alivyo mbumbu alijibu sasa hivi ni Bize na sabasaba niulizeni baada ya saba saba kwisha.

...Hivi kumuweka meneja aliye shindwa uendeshaji wa Duka la Bidha muhimu enzi zile, la RTC, kuongoza BET ni kuongeza juhudi za kuimarisha biashara za Kimaifa au ni kuzipeleka kuzimu??

...Hivi Nyerere pekee ndiye aliyekuwa 'Mnoko' wa kuwastaafisha wazembe kwa manufaa ya Umma? hawa maraisi waliomfuatia 'wanaona haya' au?
 
Tanzania Highlight in Olympics Games

Well known for its distance runners, Tanzania has surprisingly only ever won two Olympic medals. Both came at the 1980 Moscow Olympic Games in the Soviet Union where Filbert Bayi came second in the men's 3000m steeplechase and Suleiman Nyambui finished a desperately close second to Ethiopia's Miruts Yifter in the men's 5000m event.

Bayi missed out on the chance to compete four years earlier in Montreal when Tanzania joined the African boycott of the 1976 Games. Bayi was the then world record-holder in the 1500m.

At the 1968 Olympic Games in Mexico City, Tanzanian marathon runner Stephen Akhwari badly injured his knee but limped on to finish over an hour behind the rest of the field. When asked by filmmaker Bud Greenspan after the finish why he had continued to run, Akhwari famously replied, "My country did not send me 7000 miles away to start the race. They sent me 7000 miles to finish it."
 
.......Natizama mashindano ya olimpiki kwa masikitiko makubwa ..ninayo masikitiko kwa sababu zile enzi ambazo watanzania tulipeleka ujumbe wa maana mashindanoni zimekwisha ...enzi za utawala wa mwalimu na hata mzee mwinyi...serikali ilikuwa ikigharamia kila kitu kupeleka wanamichezo ...na aghalabu wawakilishi wa tanzania walipungua 30....leo hii tunapeleka wachezaji 8 tu ..tena kwa kutembeza bakuli...ilikuwa waende 9...mchezaji mmoja EMMILIAN PARTTYRICK alipata kashafa ya madawa ya kulevya.....na hapo waziri wa michezo shost wa kikwete capt mkuchika naye anajiita waziri...

mnakumbuka enzi za kina juma ikangaa,filbert bayi ,juma mnyampanda,suleiman nyambui..,benjamin mwangata,koba kimanga,..chini ya kocha wa ngumi toka cuba GARRISSO CARICASSESA...Tulishiriki michezo mingi hadi kurusha kisahani ..leo hii tunashiriki riadha tu....na waogeleajji wawili nao wamejilipia gharama...tanzania ndio nchi yenye wachezaji wachache kuliko nchi zote za ukanda huu...wenzetu kenya WAMEPELEKA NDEGE NZIMA .....wachezaji takribani 150..
 
Kwa habari zaidi tembelea bandiko kama hili kwenye ukumbi wa michezo humuhumu jamii forums
 
Back
Top Bottom