*Beijing Olympics 2008*

12kayak550.jpg

In a kayak race, the first ever Olympic medal for Togo
By Peter Berlin Published: August 12, 2008


SHUNYI, China: As Benjamin Boukpeti swept across the finish line of the Olympic whitewater course at the end of the men's single kayak final Tuesday, he smashed his double-bladed paddle across the bow of his boat.

For a moment it seemed like a gesture of frustration. Boukpeti had led, by one hundredth of a second, after the semifinals, and ended up in third.

But then he raised the two splinters of wood, one in each massive fist, in an unambiguous gesture of triumph. Boukpeti's bronze represented a victory of sorts. It was the first-ever Olympic medal for Togo.

Boukpeti learned his sport in France. But after he failed to make its team, he competed for Togo in Athens, where he finished 18th. That, according to the official Olympic Web site, was "arguably" Togo's "best ever" Olympic result.

After a faultless first run in the semifinals Tuesday, he became the first African, of any color, to make the final of an Olympic slalom race.

Today in Sports
China takes gold in men's gymnasticsNot content with gold, Phelps stalks Spitz and '72Coughlin and Peirsol sweep 100 backstroke finals
In the semifinal, Warwick Draper, an Australian ranked 30th in the world, punched the air with his paddle as he crossed the line with a time of 86.09 seconds with no penalties. He celebrated too soon.

Two paddlers later came Boukpeti in 86.08. He looked faintly bemused.

Neither was the fastest racer. Peter Kauzer, a Slovak and the highest-ranked man in the race, completed the course in 85.42 seconds, but touched two gates, and the four seconds in penalties dropped him to 13th. Only the top 10 men, Boukpeti included, advanced.

In the final, only 1.23 seconds separated the top four men. Alexander Grimm, a German, fourth after the semifinals, hardly put a paddle wrong as he danced through the gates, making the battle with angry waves seem effortless. He finished in 84.39, the best time of the afternoon by more than a second.

Fabien Lefèvre, racing for France, also found a good line and jumped to second with a time of 86.09 for a cumulative 173.30. Draper was battered by the waves and had dropped out of contention, so Boukpeti started his run knowing that barring a mistake, a medal was his. He avoided touching any gates and finished 0.15 seconds behind Lefèvre.

In the men's single canoe, Michal Martikan knew that revenge was his even before he started to paddle in the final of men's whitewater canoeing.

This was the Slovak's fourth Olympics. In three previous finals he had only lost to one man, but he had lost to that man twice. Martikan won the gold at 17 in Atlanta in 1996.

But four years later in Sydney, he was edged by Tony Estanguet, a Frenchman who has never placed higher than 13th in the world championships. In the intervening years, Martikan continued to win world titles, but in Athens in 2004, Martikan was adjudged to have touched a gate in the final. The 2-second penalty dropped him 12 hundredths of a second behind Estanguet, who collected a second gold.

But the course in Shunyi, which drops 5.2 meters over its curving, roiling length of 280 meters, or 920 feet, favored the lighter, smaller, more technical paddler. And at 1.70 meters, or 5-foot-7, and 73 kilograms, or 161 pounds, Martikan is 15 centimeters shorter and 2 kilograms lighter than Estanguet.

In the semifinals, Estanguet lost the upstream battle on the first red gate, losing speed and touching a pole, which cost him two seconds.

He never made up the deficit and finished 9th among the 12 semifinalists. Only the top 8 go through to the final.

Standing barefoot on the grass and facing the massed French media, Estanguet said he could not explain his struggles on this course.

"This course is not for me," he said. "It's technical and very, very different. I don't know what it is. If I did I'd be in the final."

Martikan had no such problem. He finished the semifinal in the lead despite a two-second penalty.

In the final, one rival after another foundered in the Dragon's Mouth. Only David Florence of Britain came through unscathed, but Martikan started the final run knowing he could paddle almost three seconds slower than in the first run and still win.

Where Estanguet could find no rhythm, Martikan's boat danced, skipping through the waves. Only another penalty made it close. He finished in 176.65 seconds overall, 1.96 seconds ahead of Florence.

"It was really fast," Martikan said, but then, with a laugh, said he was not happy that he had incurred a penalty.

"This is the most difficult artificial course in the word," Martikan said, looking ahead to a fifth Olympics. "I hope they build a better one for London."
 
Wabeba Unga Toka Tanzania Wamejiandaa Kama Ifutavyo,wamepanua Matumbo Yao Kiasi Wameongeza Kapasiti Ya Kubeba Unga
 
ajabu,but true,hakuna binadamu yoyote,aliyewahi kukimbia mita 100 under 10 seconds,unless ni a west african au ana asili ya west africa.kwa maana hiyo,no indian,white,chinese etc.etc na hata east african or south african who has gone through hizi mbio under 10 seconds
 
Mpaka saizi
1.USA wana medal 29
2.China wana medal 26
3.S.Korea wana medal 12
Sijui bongo tutavuna kweli????????
 
kiasi mvuto wa olympic umenipungua mwaka huu, na hii ni kwa sababu tunaonyeshwa kwa mafungu na si kama ilivyokuwa zamani full kujiachia.
by the way ninachokisubiri sasa ni riadha mita 100, 200, 400, plus vijiti, coz huko nataka niuone mchuano kati ya asafa powel na home boy tyson gay katika mita 100.
kuhusu mita hizo kwa mademu wanyamwezi hatuna wasi wasi kazi kwenu wabongo.
 
kuna jamaa mmoja 'samaki mtu' anaitwa Michael Phelps, huyu jamaa anaogelea si mchezo, mpaka sasa keshacvuna medali za dhahabu nne katika mashindano ya kuogelea. This makes me think wale wakojani wetu jamani...!!!

Magdalene Moshi ka parfom vipi leo?


Aug. 13 (Bloomberg) -- Michael Phelps broke the career gold-medal record at the Olympics today as China improved to a Games-leading 17 titles and Georgia got its first two.

Phelps lifted his gold-medal total to 11 with world record- breaking wins in the 200-meter butterfly and 800 freestyle relay. He moved within three victories of surpassing fellow American Mark Spitz's single-Games mark of seven golds set in 1972 and will swim three more events in Beijing.

Phelps won the butterfly in a record time of 1 minute, 52.03 seconds after his goggles filled with water at the start. That victory pulled him ahead of the nine golds of Spitz, Carl Lewis, Paavo Nurmi and Larissa Latynina on the career list.
 
kuna jamaa mmoja 'samaki mtu' anaitwa Michael Phelps, huyu jamaa anaogelea si mchezo, mpaka sasa keshacvuna medali za dhahabu nne katika mashindano ya kuogelea. This makes me think wale wakojani wetu jamani...!!!

Magdalene Moshi ka parfom vipi leo?

Ebwana Huyo phelps ni habari nyingine maana nimeona jinsi anavyoswim jamaa anatechique moja ya kukaa sana kwenye ndani ya maji pale wanapotouch sehemu ya kurudia( i mean wanapogeuza kurudi kwenye another 50m)
So far anamedal 5 za gold leo nashiriki tena ameahidiwa $1,000,000 kama atachukua 8 gold medals so anashirikia kwa strategy tupu na alifanya kazi kubwa kuselect michezo ya kucheza ili asiuchoshe mwili wake.
 
Rushaka kashika namba tatu kwenye heat, mi najiandaa tu kutumbulia macho tv kesho, fingers crossed...

hivi inakuwaje mbona karibu washiriki wote kwenye ile heat walikuwa waafrika? ameongoza Mmalawi, Mrwanda wa pili
 
Rushaka kashika namba tatu kwenye heat, mi najiandaa tu kutumbulia macho tv kesho, fingers crossed...

hivi inakuwaje mbona karibu washiriki wote kwenye ile heat walikuwa waafrika? ameongoza Mmalawi, Mrwanda wa pili
mambo ya qualification time, season best time and personal best... Inaonekana hao wamematch katika time zao wakati wa kuingia kwenye olimpiki
 
Magdalene Moshi ka parfom vipi leo?[/COLOR]


...du wamlima wanaweza kweli kuogelea...mimi nadhani nchi yetu inaweza kuwa na vipaji vyote...tunao watu wa pwani na ziwa ..na visiwani ...hawa tukijipanga hawatashindwa kutuletea medali ya swimming....watu wa bonde la ufa [kaskazini]...mbio ndefu....

..watu wa nyanda za juu wana figure kubwa ...wakiandaliwa wanaweza mbio fupi...ambazo zinahitaji misuli....kigoma football

..kwanini tukose medali????
 
...du wamlima wanaweza kweli kuogelea...mimi nadhani nchi yetu inaweza kuwa na vipaji vyote...tunao watu wa pwani na ziwa ..na visiwani ...hawa tukijipanga hawatashindwa kutuletea medali ya swimming....watu wa bonde la ufa [kaskazini]...mbio ndefu....

..watu wa nyanda za juu wana figure kubwa ...wakiandaliwa wanaweza mbio fupi...ambazo zinahitaji misuli....kigoma football

..kwanini tukose medali????
Tumekosa dira katika suala zima la michezo, kuanzia kabumbu hadi kufukuza upepo, Hatuna sera yoyote katika michezo. Michezo inakwenda na utashi na mapenzi ya aliyekuwepo madarakani na wizara husika.

Wakati Uwanja wa Amani unakamilika miaka ile ya sabini uwanja wake ulitandikwa track ya kiwango cha olimpiki, na kuwa kiwanja cha kwanza kuwa na track yenye ubora wa michezo ya kimataifa katika Tanzania. Hata hivyo kiwanja hicho hakijawahi kutoa mvukuza upepo aliyewahi kushinda mashindano makubwa duniani.

Zilikuja Opresheni Bayi na Opresheni Nyambuni miaka kumi na ushee baadae na hii ni kutokana na waziri mkuu wa kipindi hicho kupenda kidogo michezo.. Mafanikio ya Opereshini hizo ziliishia kwenye michezo ya kijeshi na mashindano ya mikoa... Kumbuka kuwa Operesheni hizo zote zilikuwa Jijini Dar

Ukija kwenye kuogelea nchi nzima ina swimming pool moja tu yenye kiwango cha olimpiki... Tena kipo kwenye shule binafsi, mpaka ufike kuogelea huko lazima uchomoke vijisenti kibao. Sasa kwa nchi ya watu milioni 40 kuwa na swimming pool moja si vituko hivyo..!

Zenj miaka fulani waliweza kuwa na wanyanyua vyuma wazuri kabisa ambao waliweza kushiriki katika michezo mbalimbali barani Afrika na kufanya vizuri. Inapofika wakati wa kwenda kushiriki olimpiki sio SMZ wala SMT wenye fedha! ni aibu.

Hata wacheza mieleka tuliwahi kuwa nao tena wa viwango vya Olimpiki, lakini hawakuweza kutambuliwa hata siku moja, kisa michezo inayojulikana hapa Tz ni boli na marathoni tu...

Ngumi nazo ndio zinazidi kudolola... Mafanikio makubwa ya ndondi ni yake ya mwaka 1998 kule Kuala Lumpur, Leo hii hatuna hata mwakilishi katika ndondi, huyo mmoja aliyetakiwa kwenda kasheshe yake inajulikana. Mabondia siku hizi wamegeuka wazamiaji na wabeba unga...aibu hii!

Ile TOC ya miaka ya themanini -tisini ndio leo tunavuna walichokipanda, kuua vipaji na kutenga michezo ambayo vijana waliamua kujituma wenyewe, huku wao wakitakiwa kutoa support tu
 
Last edited:
HIGHS and LOWS

8450356_18_1.jpg

As US is concerned.​

LOL,... Mzee Ole bwana, si useme tu FEDERER nje!?... haya, huyo NADAL naye ka perform vipi leo huko? naona kama hawa Tennis top seeds i.e William sisters, Federer, Andy Murray, etc linapokuja suala la uzalendo wa nchi zao hawana mori ya kutosha.
 
Back
Top Bottom