Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,054
awesome,spectacular,breathtaking,the chinese have delivered an opening ceremony of biblical propotions
Sisi tumelaaniwa... mpaka sasa hatuna vazi la Taifa... ati na hilo linahitaji rocket sayansi na mfadhili, na washa, kongamano... na per diem na shamba darasa ...
Nah...matatizo yetu ni zaidi ya uongozi mbaya na siasa mbovu. Kule Afrika Kusini makaburu walikuwa na uongozi mbaya na siasa mbovu lakini waliweza kuijenga Afrika Kusini. Na kwa nini katika karibu kila nchi ya Afrika kusini mwa jangwa la sahara kila nchi iwe na uongozi mbaya na siasa mbovu? Hii siyo accident.....kuna kitu hapo maana hata nchi zenye maliasili kibao kama Nigeria na Angola na zenyewe ziko hohehahe tu.....
Kwa makaburu walikuwa na viongozi bora na siasa safi hata kama hazikufaa kwa weusi.
Nchi za weusi tuna viongozi wabaya na siasa mbovu kwa watu wetu. Hapo kwenye msemo wa Nyerere natural resources ziko kwenye ardhi.
kwi kwi kwi................... umesahau kuundwa kwa kamati na kupewa najiti yake kwa ajili ya kutafuta vazi hilo bila kusahau kuagiza mtaalamu toka nje ya mchi kwa mkataba wa miaka mi3
Ndio mkuu nilisahau, tunamtafuta mtaalamu mshauri, kufanya upembuzi yakinifu... mchakato wa kumtafuta mfadhili na m-bia na baaada ya hapo tutafanya semina elekezi, kisha tutafanya ufunguzi na kumkaribisha mh. Rais... na baada ya hapo ... jamani inabidi kujipongeza kwa kasherehe baada ya ufunguzi pale paradise hotel bagamoyo... nimesahau... tunafanya capacity building.
Bajeti nadhani ya mwaka huu haitatosha tusubiri kutengewa bajetu nzuri mwaka kesho ya angalau bil.3 hivil...
Mh. Spika naoma kutoa hoja.
Hoja imeungwa mkono sasa nawahoji... wanaosema ndio waseme ndio... wachangiaji ndiyooooooooooooooooooooooo...
Wanasema hapana... hamna...
Hoja imepitishwa.
weweeeeeeeeee... here comes tanzanians with track za kijani na t-shirt za njano....... si mbaya sana. sasa subiri usikie bei ya kutengenezea nguo hizo
wait a minute...... rangi ya njano na kijani....uhm.... politics zimo humo tayari... rangi za CCM
Hapana tutaitisha sherehe ya kuwashukuru serikali ya China kwa kutupatia nguo hizo... cost ya sherehe itakuwa 1000 times cost ya hizo nguo...
Nakuhakikishia hizo rangi sio representation ya wanamichezo wa Tanzania... Yangi yetu ni ya Bluu...
Hapana ndio zimepatikana haraka pale Beijin... na Balozi akasema tukichelewa kuchukua za Msaada mpaka bajeti ije shauri yenu...mtaingia na vikoi wengine kana... mtakuwa kama chotara.
wait a minute...... rangi ya njano na kijani....uhm.... politics zimo humo tayari... rangi za CCM