- Thread starter
- #161
Usikariri mambo, maandamano siyo njia pekee ya kudai haki.
Ndiyo njia pekee yenye tija kwa maoni yetu. Hatuko wachache. Usikariri ndugu. Heshimu mawazo ya wengine.
Usikariri mambo, maandamano siyo njia pekee ya kudai haki.
Ndiyo njia pekee yenye tija kwa maoni yetu. Hatuko wachache. Usikariri ndugu. Heshimu mawazo ya wengine.
Maridadi kabisa. Kwa kesi hiyo basi lolote unalosema juu yangu au yetu tusiokubaliana nawe au na nyie basi utambue kuwa lina apply vivyo hivyo kwako au kwenu. Nilichofanya mkuu ni "return to sender" tu. Si pungufu si zaidi.Ni kweli napaswa kuyaheshimu, lakini kuyapinga mawazo nisiyokubaliana nayo, haimaanishi kuwa siyaheshimu.