Bei za mafuta Afrika Kusini (SA) zashuka

Bei za mafuta Afrika Kusini (SA) zashuka

. Kitua ambacho nataka ukielewe tena hapa ni kwamba, Ukichukua hiyo Rand 139 ukiwa South Africa bidhaa utazozipata ni sawa na Ukichukua Shilingi 3500 ya Tanzania ukanunua bidhaa zilezile hapa kwetu.
Mkuu, ungezidi kufafanua hapa ili sisi tuliokimbia shule tuelewe zaidi.

Rand 139 inaweza kununua portion ya pork pale Jo'berg kwenye zile Spurs zao au hata Nandoz. Je, tzs 3,500 pia inaweza kununua portion hiyo hiyo ya pork hapa Daslama Capetown fish market au Samaki samaki, Kidimbwi?
 
Mkuu, ungezidi kufafanua hapa ili sisi tuliokimbia shule tuelewe zaidi.

Rand 139 inaweza kununua portion ya pork pale Jo'berg kwenye zile Spurs zao au hata Nandoz. Je, tzs 3,500 pia inaweza kununua portion hiyo hiyo ya pork hapa Daslama Capetown fish market au Samaki samaki, Kidimbwi?
Unaweza kununua tu, sema wewe unataka kupata kilo nzima ya kitimoto ambayo ni 10000 so 3500 Robo unapata fresh tu.

Alafu pia unapolinganisha vitu uwe unaangalia upatikanaji wa hivyo vitu. NGURUWE SA na kila kona, ila TZ kuna uislam mwingi hivyo upatikanaji wake unakuwa mgumu. Ni sawa na Ununue Korosho Mtwara afu ulinganishe na Korosho pale JOBURG.

Ila kwa vitu vya kawaida ni always the same as bei za huku kama Vocha, nk.
 
Mkuu we ndio umesema point ya maana

Kiuhalisia mafuta yanaweza kuwa bei sawa ZA, USA na TZ, ila kwa kwa mTZ mafuta kwake ni ghali

Mtu USA anaweza earn avaragely USD 50 per day ila tukirudi Tanzania tuseme kwa siku tunakupa wastani wa tsh 30,000 kwa siku., mda huo lita moja tuseme ni 3400TZS ~ 1.5 USD

Tukiangalia hawa watu katika pato lao la siku mTZ atatumia asilimia kubwa ya pato lake la siku kununua lita moja ya mafuta, yani zaidi ya Asilimia 10% la pato lake linatumika nunua wese lita moja. Mtu kutoka US Atatumia asilimia tatu tu 3% ya pato lake ka siku kuipata lita moja

Katika hawa mTZ lazima afanye yafuatayo ili angalau aishi

-Alie Kama tunavyolia
-Apunguze kiasi cha mafuta anachonunua
-Apaki gari kama sio lazima sana kuwa nalo

Tuache siasa kuipata Rand 136 ZA sio ngumu kama kuipata 3500 bongo
Na hii ndio point ya msingi,....uchumi haulinganishwi na ufanano wa bidhaa bali uwezekano wa kupata pesa ya kununua hio bidhaa[emoji419][emoji419][emoji419].
Kitu kile kile chenye bei ile ile,mwenye kipato cha 100 atanunua kwa urahisi ukilinganisha na mwenye kipato cha 10,only of sababu ya uchumi wake.
Parachichi hili hili linalouzwa 500/= bongo Saudi Arabia si chini ya $3=7000+Tsh,,ila raia wa Saudi Arabia wanakula maparachichi mengi kuliko raia wa Tanzania.
 
Ila kwa vitu vya kawaida ni always the same as bei za huku kama Vocha, nk
Mkuu, hii si sahihi. Nadhani suala la purchasing power linahusika hapa, issue ni kuelewa tu maana yake hasa, ndicho ninachotaka kukijua.

Li-Nigeria ni likubwa kiuchumi kuliko SA, ila na wenyewe Naira haina nguvu kihivyo ukilinganisha na Ksh au Zar.

Kuna hili suala la VAT pia, Nigeria, SA n.k wana VAT ndogo, hivyo pesa hiyo hiyo si haiwezi tena kununua kitu hicho hicho maeneo tofauti?
 
Back
Top Bottom