Bei za mafuta Afrika Kusini (SA) zashuka

Bei za mafuta Afrika Kusini (SA) zashuka

Exactly mkuu kuna mazuzu humu yaani mpaka unakereka,sisi politicians wetu walitumezesha vitu gani, all countries around us ,bei zimekwenda chini only us, na bado kuna mazuzu humu wanaona ni sawa, na wanapiga kelele why Mr.Mbowe hawatetei!!,it's craze kutegemea wengine wakupiganie wewe umejificha na ID fake humu.
Hawa ndo kutwa nzima wanafutailia wakina Mwijaku, yaani wamabia waelezee Mwijaku watashuka page 9
 
Wewe huoni kuwa currency yetu ni nyepesi na why?hasa kwenye nchi yetu ambayo hatujawahi hata kupata natural disaster yeyote?,tambua kuwa 1 SIO SAWA NA 139
Samahani naomba nikusaidie kukuelewesha kidogo kama utanielewa lkn. Nimeamka vizuri leo kuweza kutoa majibu yanayoweza kukusaidia huko mbeleni.

1. Strong Currency sio kigezo cha kuwa na uchumi mkubwa. Unaweza kuwa na Strong Currency na ukazidiwa mbali kwenye Uchumi. Mf. JAPANNESE YEN inabadilishwa kwa Tsh 17 za kibongo. Wakati huo huo Shilingi ya Kenya inabadilishwa kwa Tsh 19 za Kibongo. Lkn ukiangalia JAPAN ana uchumi mkubwa sana kuliko nchi zote za Afrika na Asia kwa ujumla wake.

2. Currency inategemea sana hali ya Export and Import. Kuna nchi zina export sana kuliko kuimport na hii hupekekea kuwa na reserve kubwa ya pesa za kigeni na hivyo kuimarisha pesa yake. Turudi kwa Japan, Japan yeye Sio muuzaji sana wa bidhaa na sio Mnunuaji sana wa Bidhaa, bidhaa kubwa anazouza Japan ni Magari na ambapo makampuni yake yametoa leseni ili kuzalishwa maeneo mbali mbali duniani ili kupunguza gharama.

3. Kitua ambacho nataka ukielewe tena hapa ni kwamba, Ukichukua hiyo Rand 139 ukiwa South Africa bidhaa utazozipata ni sawa na Ukichukua Shilingi 3500 ya Tanzania ukanunua bidhaa zilezile hapa kwetu.

Hizo exchange rate zimeweka kwa muktadha kuwa Bidhaa fulani utaipata katika uzani sawa dunia nzima, simply ni kwamba mchakato wa kuipata 139 Rand ni sawa na ugumu wa kuipata 3500 ya bongo. Usione namba ndogo ukadhani inapatikana tu kirahisi hivyo.
 
Hakuna dunia bila Russia
Sio kweli. Dunia si sehemu Ya nchi yoyote ila nchi zote ni sehemu ya dunia ni binadamu ndo wamejigawia majina ya hizo sehemu za dunia.
 
Purchasing power ya South Africa ni sawa na ya Tanzania?
We jamaa ni gani!!! Nimekuweka hapa za nchi kadhaa afu uniambia hiko unachofikiria kama kiko sawa.

Afu unajibu kwamba JAPAN wana maisha magumu kuliko KENYA na SOUTH AFRICA??
Screenshot_20220804-090041_Google.jpg
View attachment 2313671View attachment 2313670
 
Kwahiyo unafananisha rand 25 ya south na 3500 ya bongo,? Unajua rand 25 SA inanunua nini na 3500 bongo unafanyia nini? Pathetic Fool!!

Makasiliko ya nn ndugu, ni jambo la kuelimishana tu.! Pole kwa ugumu wa maisha naona umeamka na stress
 
Samahani naomba nikusaidie kukuelewesha kidogo kama utanielewa lkn. Nimeaka vizuri leo kuweza kutoa majibu yanayoweza kukusaidia huko mbeleni.

1. Strong Currency sio kigezo cha kuwa na uchumi mkubwa. Unaweza kuwa na Strong Currency na ukazidiwa mbali kwenye Uchumi. Mf. JAPANNESE YEN inabadilishwa kwa Tsh 17 za kibongo. Wakati huo huo Shilingi ya Kenya inabadilishwa kwa Tsh 19 za Kibongo. Lkn ukiangalia JAPAN ana uchumi mkubwa sana kuliko nchi zote za Afrika na Asia kwa ujumla wake.

2. Currency inategemea sana hali ya Export and Import. Kuna nchi zina export sana kuliko kuimport na hii hupekekea kuwa na reserve kubwa ya pesa za kigeni na hivyo kuimarisha pesa yake. Turudi kwa Japan, Japan yeye Sio muuzaji sana wa Mnunuaji sana wa Bidhaa, bidhaa kubwa anazouza Japan ni Magari na ambapo makampuni yake yametoa leseni ili kuzalishwa maeneo mbali mbali duniani ili kupunguza gharama.

3. Kitua ambacho nataka ukielewe tena hapa ni kwamba, Ukichukua hiyo Rand 139 ukiwa South Africa bidhaa utazozipata ni sawa na Ukichukua Shilingi 3500 ya Tanzania ukanunua bidhaa zilezile hapa kwetu.

Hizo exchange rate zimeweka kwa muktadha kuwa Bidhaa fulani utaipata katika uzani sawa dunia nzima, simply ni kwamba mchakato wa kuipata 139 Rand ni sawa na ugumu wa kuipata 3500 ya bongo. Usione namba ndogo ukadhani inapatikana tu kirahisi hivyo.
Sio kweli mkuu pamoja na maelezo hayo, nikifika pale tunduma osbp,ninataka kuvuka kuingia zambia, nitatoa noti 14 zenye uthamani wa 10,000 each kupata noti 10 za kwacha zenye uthamani wa 100,hizi 1000zwk zitanipatia diesel ya kunipa umbali wa zaidi ya 800kms,sasa nikiwa tunduma na 140 000.00ths nakuja Dar nitapata Lita ngapi za diesel pale?,siku itakayofika tukaanza kupeana ukweli ndio siku tutaanza kutembea kama nchi
 
Wakati watanzania bado tukilia na bei mpya za mafuta zilizoanza kutumika rasmi kuanzia Agosti 3 2022, nchini South Africa mambo ni tofauti kabisa.

Wizara ya madini na nishati nchini humo imetangaza auheni ya bei mpya za mafuta ambayo zimeanza kutumika rasmi tarehe 3 Agosti.(petroli na diseli ndio zimeshuka:tizama jedwali chini[emoji116]).

Wizara hiyo imezitaja sababu kuu za kushuka kwa gharama ya bidhaa hiyo nchini humo kuwa ni:

Sababu kuu zinazochangia kushuka kwa bei ya mafuta nchini SA ni:

1). Mahitaji madogo ya mafuta ghafi (crude oil) kwa sababu ya wasiwasi wa mdororo wa kiuchumi,

2). Bei za mafuta South Africa (SA) zashuka,

3). Kuibuka tena kwa Uviko-19 (COVID-19) nchini Uchina,

4). Uamuzi wa nchi wanachama wa OPEC (jumuiya la Nchi Zinazouza Petroli duniani) na nchi Wanachama Wasiokuwa wa OPEC kuongeza uzalishaji wa mafuta.

Hali kadhalika, wizara imesema bei ya mafuta SA ingeweza kushuka ziadi endapo kama kusingekuwa na vikwazo vya usafirshaji wa mafuta.

Endeleeni kudanganywa kuwa anaupiga mwingi.

View attachment 2313510
Utaambiwa hao wapo BRICS Hawakosi cha kujibu ujue! Na tutatulia. Huo ndiyo ukweli, usibishe!
 
Makasiliko ya nn ndugu, ni jambo la kuelimishana tu.! Pole kwa ugumu wa maisha naona umeamka na stress
Nikuletee makasiriko wewe usiyejua hata comparison ya uchumi wa nchi na nchi?

Watu aina yenu huku huwa tinawaponda mawe tu ili mrudi kwenye zile nyuzi zenu za kula tunda kimasihara na upuuzi mwingine.
 
Sio kweli mkuu pamoja na maelezo hayo, nikifika pale tunduma osbp,ninataka kuvuka kuingia zambia, nitatoa noti 14 zenye uthamani wa 10,000 each kupata noti 10 za kwacha zenye uthamani wa 100,hizi 1000zwk zitanipatia diesel ya kunipa umbali wa zaidi ya 800kms,sasa nikiwa tunduma na 140 000.00ths nakuja Dar nitapata Lita ngapi za diesel pale?,siku itakayofika tukaanza kupeana ukweli ndio siku tutaanza kutembea kama nchi
Unamiscalculate mkuu, utapata Lita sawa tu. Iko hivi, exchange rate ipo pale ili kubalance manunuzi, ila tambua fika ugumu wa na ukubwa wa matumizi wa hiyo pesa uko sawa kila upande, ni ishu ya namba tu hapo.

Lita 200 za mafuta ukinunua ZAMBIA kwa Kwacha. Ni sawa na Lita 200 za mafuta ukinunua hapo Tz, kwa kuibadilisha hiyo Kwacha.

Usichanganye uwingi katika namba, kaa kwenye exchange rate ndio utaelewa hiki nikisemacho hapa.
 
Leta ya South Africa, nyie ndo mnaambiwaga mafuta USA ni ghari kuliko Tanzania mnakenua meno hadi mwisho,
Nimekuweka hapo uisome kwanza afu linganisha na ya Japan afu uniambia nchi ipi ina uchumi mkubwa.
 
Back
Top Bottom