SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,117
- 8,096
Wakati watanzania bado tukilia na bei mpya za mafuta zilizoanza kutumika rasmi kuanzia Agosti 3 2022, nchini South Africa mambo ni tofauti kabisa.
Wizara ya madini na nishati nchini humo imetangaza auheni ya bei mpya za mafuta ambayo zimeanza kutumika rasmi tarehe 3 Agosti.(petroli na diseli ndio zimeshuka:tizama jedwali chini[emoji116]).
Wizara hiyo imezitaja sababu kuu za kushuka kwa gharama ya bidhaa hiyo nchini humo kuwa ni:
Sababu kuu zinazochangia kushuka kwa bei ya mafuta nchini SA ni:
1). Mahitaji madogo ya mafuta ghafi (crude oil) kwa sababu ya wasiwasi wa mdororo wa kiuchumi,
2). Bei za mafuta South Africa (SA) zashuka,
3). Kuibuka tena kwa Uviko-19 (COVID-19) nchini Uchina,
4). Uamuzi wa nchi wanachama wa OPEC (jumuiya la Nchi Zinazouza Petroli duniani) na nchi Wanachama Wasiokuwa wa OPEC kuongeza uzalishaji wa mafuta.
Hali kadhalika, wizara imesema bei ya mafuta SA ingeweza kushuka ziadi endapo kama kusingekuwa na vikwazo vya usafirshaji wa mafuta.
Endeleeni kudanganywa kuwa anaupiga mwingi.