Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,668
- 11,333
Narejea kwenye kuni mungu wangu!!
Huku nako vizuizi vimeongezeka njiani hivyo kuni bei juu, labda utumie mabunzi ya mahindi
Narejea kwenye kuni mungu wangu!!
Niwahi nikabadilishe hata kama haijaisha mpwa?
omba msaada usaidike acha.kuandika taarabu..kama imekosewa inarekebishwa na kama unatumia gesi nenda kanunue ya kg 15"000. Utupe bei mpyamkuu hiyo mihan kilo 15,000 mbona kama sjakuelewa ndugu yetu.
Don't act like a kid sometimes you must be serious inapokuja serious issue kama hii jaribu kuweka utoto pembeni ndugu.
Oryx gesi
Kg 15-52,000
Kg6-22,000
mihan
Kg 15=51'000
kg 6-21,000
Wahi haraka ukabadilishe kabla haijapanda
Kwani kabla ya bei hii ilikuwa SHS NGAPIIIIIIII!!!
Itakuwa Bei Ya Mikoani Hiyo
Wewe upo wilayani
mkuu umesahau kwamba chama chetu pendwa kinajiandaa kukusanya pesa ya kampeni toka kwa waagizaji wakubwa wa gesi na mafuta?Kwa nini kuwe na tarehe maalum ya kupandisha bei ya gesi kwani na yenyewe inauzwa na shirika la umma kama tanesco inavyouza umeme? Gesi si kila kampuni na utaratibu wake au kuna bei elekezi kama nauli za magari ya abiria(
Mbona ndio bei ya siku zote huku nilipo? Kuna wakati hyo kg 6 iliuzwa hadi 28 elfu so hakuna jipya hapo!
Mbona ndio bei ya siku zote huku nilipo? Kuna wakati hyo kg 6 iliuzwa hadi 28 elfu so hakuna jipya hapo!