Bei za gesi kupanda tar 1-7-2015

Bei za gesi kupanda tar 1-7-2015

Hii nchi inazingu tu, kila kitu dola gass inapanda mafuta ya taa yanafichwa, mkaa haukamatiki, kuni shida hakuna pa kukamata? Hebu raisi ajae atupe namna ya kulainisha vyakula vibichi kama nyani tuachane na haya manishati maana kwa nchi hii kila kitu wanakichukulia kama anasa, inachosha sasa tule visivyopikwa maana hamna jinsi.
 
omba msaada usaidike acha.kuandika taarabu..kama imekosewa inarekebishwa na kama unatumia gesi nenda kanunue ya kg 15"000. Utupe bei mpya

Nimekshtua uwahi kuvunja kibubu

Sio kosa lako nyani ndio maana huoni ulichoandika.
 
Huku Mbeya imekwishapanda. Leo 15KG ORYX ni 54,00 na Mihan ni 52,000.
 
Huku Mbeya imekwishapanda. Leo 15KG ORYX ni 54,00 na Mihan ni 52,000.

Mmh..mimi hizi kilo zinanichanganya sasa. Ule mtungi ulioandikwa 30 tulikuwa tunanunua sh. 47000-50000 ndio wa kilo ngapi?
 
Wangetukea na picha tutofautishe maana kujua huu wa kili ngapi inakuwa shida kidogo maana ni wangu umeandika 14.6 sijui ni kg ngapi
 
ukisema ccm haifai kutuongoza tena utaskia baadhi ya wajainga wanaoji..eti kupanda kwa gesi inausiana nini na ccm...kama umesoma hapa alafu ukajiuliza hilo swali jitafakari sana...huu mwaka ni wa maamuzi mepesi tu wala huitaji kuumiza kichwa.
 
Mmh..mimi hizi kilo zinanichanganya sasa. Ule mtungi ulioandikwa 30 tulikuwa tunanunua sh. 47000-50000 ndio wa kilo ngapi?
Eli79 huo ndio 15kg. Yaani unasomeka hivi 14.6 kg
 
Last edited by a moderator:
Lake gas ndio the best price zipo chini zaidi kuliko oryx, mihan, na camel
 
Acha ipande misitu iteketee si tumeichagua ccm wenyewe .....
Kodi zingeondolewa kwenye gesi matumizi ya mkaa yagepungua sana na jangwa lingesogea mbali kidogo

Hii ni sawa na ku- facilitate Operation Kata Miti. Wabunge wetu kila kitu ndioo utazani watangaza mpira wa. TBC kila shuti la 'stricker' hutangaza. Goo! hata kama kapasia mchezaji wa nyuma.
 
Eli79 huo ndio 15kg. Yaani unasomeka hivi 14.6 kg
Thanx Jerhy, leo imebidi nipitie kijiwe ninachonunulia gesi, kweli bei ni 52,000/ kwa oryx!
hawa jamaa badala ya kushusha bei ya gesi ili kuokoa mazingira, wao wanazidi kuifanya ghali.....aaah!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom