Bei za fremu Morogoro Mjini

Kwa hapo mjini kati sijajua, but maeneo ya huku pembezoni elf 30 unapata.
 
Hapo town fremu zinaanzia laki na nusu na nakuendelea, utapangishwa kwa masharti ya kulipa kodi mwaka mzima au miezi isiyopungua 6,

Kodi utakayolipa kwa mwaka asilimia kumi (ya pembeni utatakiwa kulipa TRA
 
Back
Top Bottom