House4Sale Nyumba inauzwa Dodoma Mjini

khalifa awe

Senior Member
Sep 21, 2016
147
31
Nyumba inauzwa Dodoma Mjini ina vyoo vi2 vya public master tatu sebule moja jiko moja na fremu za maduka nne, bei milioni 300, ipo barabara kuu ya singida maongezi yapo kidogo hati ipo haina dalali
IMG_20231219_184125_111.jpg
IMG_20231219_184057_186.jpg
IMG_20231224_172809_300.jpg
IMG_20231219_183715_396.jpg
IMG_20231224_172829_389.jpg
 

Attachments

  • IMG_20231219_184203_565.jpg
    IMG_20231219_184203_565.jpg
    59.6 KB · Views: 8
Yaani kirahisi tu mtu aje NALA kununua hilo jengo kwa milioni 300! Hiyo hela akitulia si anaweza akapata eneo potential kuliko hapo, akanunua kiwanja au pagale na kujenga kitega uchumi chenye tija zaidi!! Mfano Lodge itakayo muingizia hela kila siku!
 
Naifahamu hii,ipo barabarani kabisa inatazamana na Nyasato,sasa pale palivyobana hata sehemu ya kuweka fensi hakuna ndio ml.300 kweli daaah,hata mwenye ile Nala Park akisema apauze pale palivyo pazuri sidhani kama atafika huko kwenye ml.300,hakika Dalali umetisha aisee kwa hiyo bei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom