Bei za bia Arusha na Moshi

hapa n choz la simba 2 huku tukuyu bei chee ka maj ya kunywa iringa ulanzi komon hakamatwi m2 hakuna pombe tamu ka ulanz n natural wine. Uki2mia huna haja ya pweza wala viagra.

Usinikumbushe Ulanzi,mliopitia JKT Mafinga mpo?
Hiki ni kinywaji cha heshima,unapiga Ulanzi pembeni kuna mahindi ya kuchoma,kando kidogo simbilisi(au viazi) kabanikwa na hadithi za mambo yetu yalee.
 
Lager imepanda bei......5000 huwezi nunua 3 beers ,lakini watu bado wabishi
 
Back
Top Bottom