Bei yangu ni Mil. 10, haipungui Mia!

ndegeulaya

Member
Apr 26, 2011
74
13
Hivi hii nayo huwa imeekaje wazee wakubwa ?

Muuzaji anauza nyumba yake kwa Mil. 10 ...!
Dalali kamseti mnunuzi kwa Mil. 15 ...!
Mnunuzi karidhia bei bila tatizo ...!
Muuzaji anaona kaibiwa Mil. 5 ...!

Source: Ze Comedy Show ...!
 
dalali kaibiwa kivipi? Ndo tatizo la kutaka maswali rahisi kwenye paper ngumu
 
Madalali wauswahilini hao,biashara mnafanya kisomi,ilitakiwa yule dalali(bambo) afanye mambo haya:

1.Kwa kua ameakikisha biashara inafanyika na yeye kashamset mtu kwa 15,angetoa 10m akanunua nyumba kwa mzee(Dr Rushwa),then Bambo(dalali) angeenda kumalizana 101 na tajiri(Masawe Mtata)

2.Angempa Black and white tajiri kwamba nyumba inauzwa m10 hila sisi commission yetu tano m,na kumwambia ampe 10 mwenye nyumba na dalali m5 basi.
 
Real estate agency is a Broker link between Buyer & Owner of the property.
Broker anakua registered kisheria, analipa kodi ya serikali kutokana na pato lake.
Mikataba yake inakua ya wazi between both sides.
Anakwambia kama unauza elfu 10, yeye ataukupa elfu 9 ziada yake.
Au atakwambia nitauza 15 na wewe anakupa 10 makubaliano yakifikiwa hakuna atakaekua amedhulumiwa.
 
Dah, mkuu K.K, lakini hapa mi naona ni huyu mzee (Dr. Rushwa) ndo anakuwa na biashara za kiswahili, manake ye si alitaka Milioni 10 ? sasa shida inatoka wapi tena!
 
ha ha ha...muuzaji ndo anaona kaibiwa mkuu...amegundua kumbe hata angesema M15 ingeuzika bila shida kabisa, Sasa kaamua kumwaga mboga na ugali kwa dalali, kaweka mambo hadharani kwa muuzaji, kwamba mimi nataka milioni 10 tuu. hivyo dalali kapoteza 5m iliyokuwa cha juu. aisee muuzaji hataki dalali atengeneze hela tena 50% ya hela aliyolipwa kwa mgongo wake. Sasa Je biashara itaendelea au ndio mwisho. Msimamo wa muuzaji ni wazi umemuokolea mnunuzi hela nyingi, je atatenda wema/fadhila kwa muuzaji? Udalili bongo aisee ni mgumu na inahitaji ujasiri. dalali hakuweza kuongea na muuzaji vizuri, muuzaji nae tamaa ilimpitia.

dalali kaibiwa kivipi? Ndo tatizo la kutaka maswali rahisi kwenye paper ngumu
 
Halafu yule mzee kanifurahisha sana maana alivyokuwa anakomaa, uso wa mbuzi. Ningekuwa mimi ndio dalala ningemzaba vibao yule Mzee, unanikosesha milioni 5 hivi hivi!
 
real states agencies ndio kina nani yarabi?

Hilo swali limeshajibiwa mbona, mbona mimi pamoja na kutumia mawani lakini nimeona......................!
Soma hapa chini:

Back
Top Bottom