Bei ya vyumba Dodoma mjini imekaa vipi?

Bei ya vyumba Dodoma mjini imekaa vipi?

26 Life

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
829
Reaction score
1,227
Habari wakuu,

Niko Dar es Salaam mwezi wa tatu kwa sasa,
Sasa nataka nikamalizie project zangu Dodoma kama miezi mitatu hivi before sijageuka tena S.A.

Gharama za guest au Air bnb ni kubwa sana, hivyo nahitaji chumba kimoja cha kawaida tu Dodoma mjini.

Kiwe Self contained,
Usalama mkubwa,
Pawe na parking pia,
Siyo maeneo yaliyochangamka sana.

Chumba cha aina hii ntakipata kwa gharama zipi wakuu?
 
Chumba self sebule, kisasa sheli 250k.
 
Back
Top Bottom