Bei ya Vanilla yaporomoka kwa kasi Mkoani Kagera, sasa kilo ni Tsh. 3,000

Mnkondya anasemaje ?
 
Aibu vipi tena wakati soko ndio linaamua?
 
Hakuna mtu ambaye hajui kina Azam wanachofanya bali barrier of entry ndio inayowazuia; huenda leo wewe ukapata chimbo la weze cheaper kuliko Lake Oil ila sababu hao wameshachukua locations nzuri nzuri na wateja wa muda mrefu wewe mpaka wateja wakugundue mkopo wako usha-mature na nyumba zako kuuzwa....

Anyway mkulima ni mtu wa kunyonywa ulimwenguni kote; kilichopo ni hawa wakulima ku-form cooperatives zao, kwa umoja wao watakuwa na bargaining power, bila hivyo wataendelea kupelekwa na kupelekeshwa na kila mpelekeshaji
 
Cc mgt software
 
kuna huyu jamaa hizi habari sijui alizipataga wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…