tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,995
- 25,388
Umesoma na kuelewa mada au unahoromoka tu kabla ya kuelewa somo?Mbona huku kwetu tunanunua 5Kg kwa 5500 mwaka wa pili ss
Umesoma na kuelewa mada au unahoromoka tu kabla ya kuelewa somo?Mbona huku kwetu tunanunua 5Kg kwa 5500 mwaka wa pili ss
Acha ujinga ata marekani wanalalamika trump awamtaki au kisa malalamiko yao kwa lugha ngeni nnWatanzania kwa kulalamika tu! Toooooo much
Sasa hapa umeandika nini? Una maanisha hao wanaouza nyanya sh 2000 kwa ndoo kubwa hawafanyi kazi au sio watanzania? Hebu funguka zaidi mkuu.Watanzania acheni kulalamika fanyen kazi mmeona wenzenu kule Lindi na Mtwara wanavyoneemeka kwa kufanya kazi,kilo ya korosho ni 4,000 ss sijui wale watu wa Nyanya hawakufnya kazi na ziko znadola inasikitsha juzi nmetka Kisaki Nyanya ujazo wa ndoo kubwa ni sh 2000 ss huyu mkulima sijui ananufaikaje???
Hahaha, mkuu UmetishaYaani ni kuisoma namba hadi zinaisha unarudia tena hadi unalala.
HahahahahahahhahahaahahahYaani ni kuisoma namba hadi zinaisha unarudia tena hadi unalala.
Dah..baby... hapo namba ya kusoma ipo wapi?..huoni kama hii ni habari njema kwa wakulima? Ingekuwa mafuta labda tungeisoma...Lakini kwa haya mahindi yanayolimwa hapa Mbagala Kibonde Maji?? ..Noo 🙂🙂🙂🙂Yaani ni kuisoma namba hadi zinaisha unarudia tena hadi unalala.
Abaki peke yake sizonje?acha tufe tuu
hiyo ni bei nzuri au mbaya?Wiki 2 zilizopita nilikuwa wilaya ya Liwale mkoa wa Lindi, debe la mahindi liliuzwa sh. 16,000/=.
Eti eeeh!! Kwani wao ndio wanauza unga? Kwa Tanzania hii hii unaona ni neema kwa mkulima hiyo!!!!Dah..baby... hapo namba ya kusoma ipo wapi?..huoni kama hii ni habari njema kwa wakulima? Ingekuwa mafuta labda tungeisoma...Lakini kwa haya mahindi yanayolimwa hapa Mbagala Kibonde Maji?? ..Noo 🙂🙂🙂🙂
Kwa mkulima ni bei nzuri lakini kwa mnunuzi ni majanga!hiyo ni bei nzuri au mbaya?
hii itachochea watu kulima na biashara kukua, pia viwanda vya usindikaji vitaongezeka....habari nzuri kiuchumiKwa mkulima ni bei nzuri lakini kwa mnunuzi ni majanga!
eehh.., abakie yye, tuone kama atajiongozaAbaki peke yake sizonje?
eehh.., abakie yye, tuone kama atajiongozaAbaki peke yake sizonje?
mhh.. kama taanza, bhac ujue weng tutakua tumedeadhahaa, utaanza weye