mtembea kwa miguu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 1,121
- 1,736
Wew ni ndindindi wa kwenye tamthilia ya siri za familia au ndindindi wa jide?SUBIRINI NCHI INYOOSHWE KWANZA ,MAMBO YATAKAA SAWA TU JAMANI
Wew ni ndindindi wa kwenye tamthilia ya siri za familia au ndindindi wa jide?SUBIRINI NCHI INYOOSHWE KWANZA ,MAMBO YATAKAA SAWA TU JAMANI
basi sasa hivi watu wnanunua unga sana, sikukuu watanunua mchele ndio maana unga unapanda
Niishi kwa shemeji.....!!! Nalea wajukuu tafadhali. Ni mkulima ambaye nina akiba ya chakula cha kunitosha na wajukuu zangu muda mrefu.Kwani ukisema na bado mkuu ww utakuwa unakula mavi......au ww unaishi kwa shemeji yako?
mmhh.. , na wewe utakuwa wapi, kenya au?hahaa, utaanza weye
hahaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
Mungu anakuona once again
ukufuli umesababishaje hapo? mtu akibana hela maana yake consumption inapungua vitu vinashuka beiTutasema sana lakini sababu moja tu... ukufuli bhasiiiii
Watanzania kwa kulalamika tu! Toooooo much
Not necessarily the case..ukufuli umesababishaje hapo? mtu akibana hela maana yake consumption inapungua vitu vinashuka bei
Tatizo hakuna mtatuaji... wote mpaka anayetakiwa au mwenye madaraka ya kutatua naye analalamika... SI UNAKUMBUKA BWANA YULE WA MUDA ULIOPITA ALIKUWA HAJUI KWA NINI TANZANIA NI MASIKINI, NA VILE VILE ASINGEWEZA KUFANYA MVUA INYESHE ILI UMEME UWEPOTumezidi kulalama bwana. Hatuna jema wala baya cc nikulalamika tu
Ww ndio unajichanganya,mwenzako katoa bei za jumla,na reja reja,mfn. 3500 ni jumla na ikiuzwa reja reja inauzwa 1000/kg~Kama kilo 5 ilikuwa 3500/= basi kilo moja ilikuwa 700/= na siyo 1000/= kama ulivyosema
~ Kwa sasa kama kilo 5 imepanda hadi kufikia 6000/= basi kilo moja itakuwa 1200/= na siyo 1400/= kama ulivyosema.
Now which is which!
hebu elezea, amesababishaje bei ikapandaNot necessarily the case..
Wiki 2 zilizopita nilikuwa wilaya ya Liwale mkoa wa Lindi, debe la mahindi liliuzwa sh. 16,000/=.Zimepanda pengine ni msimu wa sikukuu, nadhani hii ni habari njema kwa wakulima wanaolia bei za mazao yao haiendani na kazi wanayofanya
Pia watu wengi watavutiwa kulima pia
Ni ile ile eee ni ile ile x 2....Dar es Salaam mnasemaje?Wafanyabiashara wa jumla na rejareja jijini Dar-es-salaami waalalamikia kupanda kwa bei ya unga wa sembe.
Kwa mujibu wa wafanyabiashara hao, mfuko wa kilo 5 umepanda bei kutoka shilingi 3500 mpaka kufikia shilingi 6000 na kilo moja ya unga imepanda kutoka shilingi1000 mpaka shilingi 1400.
Chanzo: ITV
Ni kweli kabisa mkuu...ukisikia mtu analalamika ujue alikuwa mpiga DEAL tu. CCM mbele kwa mbele!Jaman Uchumi umepanda hamjasikia jana Dr Mpango akisema walkja kuhakikiwa na Shirika la fedha Dunian(IMF)