Bei ya unga yapaa

Bei ya unga yapaa

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,178
Reaction score
162,655
Wafanyabiashara wa jumla na rejareja jijini Dar-es-salaami waalalamikia kupanda kwa bei ya unga wa sembe.

Kwa mujibu wa wafanyabiashara hao, mfuko wa kilo 5 umepanda bei kutoka shilingi 3500 mpaka kufikia shilingi 6000 na kilo moja ya unga imepanda kutoka shilingi1000 mpaka shilingi 1400.

Chanzo:
ITV
 
Edit baadhi ya figure na meneno kwenye post yako! Ila Rais lazima akubali tu kubadilika najua ana nia njema na Nchi ila kuna sehemu anakosea kama binadamu hilo ni suala la kawaida!

Unapokosea unarudi unajipanga upya! December inakaribia kama vitu vimeanza kupanda leo mpka Christmas itakuwaje?
 
Wafanyabiashara wa jumla na rejareja jijini Dar-es-salaami waalalamikia kupanda kwa bei ya unga wa sembe.

Kwa mujibu wa wafanyabiashara hao,mfuko wa kilo 5 umepanda bei kutoka shilingi 3500 mpaka kufikia shilingi 6000 na kilo moja ya unga imepanda kutoka shilingi1000 mpaka shilungi 1400.

Chanzo: ITV
Naenda kijijin kulima
 
Raisi wa wanyonge
Mm naona ni rahisi kusema kuliko kutenda
Hao maofisa waliomzunguka hawasemi kitu hata akiona tunaelekea sipo
Wanaogopa kutumbuliwa
 
Back
Top Bottom