Mbona bei ni hiyo hiyo tangu mimi naanza kununia umeme
Unit 1= 357tsh/= au wamepandisha kutoka hiyo 357/=
Maana mwezi uliopita nilinunua umeme wa elf10 nikapewa unit 28
10000÷28=357.1
sasa imepanda lini?
Nimenunua juzi wala sijaona hilo ongezeko la Bei, labda Kama Bei imepanda Jana au Leo hapo nitaelewa, View attachment 2255255
Watuwekee hata 2,300 kwa unitBei ya Umeme yapanda na kuwa sh.357 kwa unit 1. Naipongeza serikali kwa hatua hii
Ni miaka mingi imepita bei ilikua haijapanda, huku gharama za uendeshaji zikiongezeka maradufu.
Pia hii sh.357 ni ndogo sana, serikali ilipaswa kuweka sh 700 kwa unit 1 ili kuweza kuleta tija kwenye shirika hili la Tanesco. Hivyo nitoe ombi kwa serikali kuongeza zaidi bei kufikia sh.700 kwa unit 1.
Nimpongeze waziri kwa ubunifu huu wa kuongeza bei ye umeme.
Umeme tunaotumia unatokea Russia?Umeme tunauza Bei chini sana, tofauti na Marekani Bei yao ni kubwa
Bei ya Umeme yapanda na kuwa sh.357 kwa unit 1.Kwa shingapi kwa unit moja tuanzie apo