Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,463
- 21,194
HahaaaaaaaaaaIlo ghorofa la 4.5M ni la makaratasi au
27 kama sikosei.Huyo jamaa anaye pigana naye anaumri gani?
Ok ahsante kwa kushirikiEti unagombania ticketi za pambano hilo huna uwezo ,Wewe kagombanie ticket za mabasi ya mwendokasi,
NdioSoma vizuri hapo ,kama imeandikwa 4.5 M halafu uje ukomenti tena.
Punguza mihemko
Alikuwa anapigana aina hiyo ila kwa sasa amebadili aina ya upiganaji ,kwa sasa anacheza Boxing ,kama sikosei ni Orthodox huyo.Lakini mbona huyo jamaa kila ni kiingia you tube nakuta anapiga kick boxing tu
mtoa mada acha up...mbav..! kasome vze figures, rudi shule upya shwain
Alikuwa anapigana aina hiyo ila kwa sasa amebadili aina ya upiganaji ,kwa sasa anacheza Boxing ,kama sikosei ni Orthodox huyo.
Ungekuwa shabiki wa Boxing hiyo mil 4 ni pesa ndogo sana.wapigane wao kwa kukumbatiana tuu no ngumi wala nn alafu mtu ulipe mapesa yote ya nn hasaaa ?
nadhani ni kiki ya kupata viewers wengi kwenye thread yake. Otherwise dola 2000 hata kiwanja cha maana hupatiIlo ghorofa la 4.5M ni la makaratasi au