Bei ya sukari yapaa tena

Bei ya sukari yapaa tena

Hii nchi kwa drama si mchezo, hivi wale waliokamatwa na sukari kipindi kile suala hilo liliishia wapi, maana tuliahidiwa kupewa sukari bure kutoka kwa wahujumu uchumi walioficha sukari, lakini sikuona tena lolote likitendeka, tukaahidiwa kuwa bei elekezi ya sukari itakua Sh 1,700/- kwa kilo lakini wapiii, sukari inazidi kupanda mlima kilimanjaro, Kina Bashite wanaacha kusimamia mahitaji ya msingi kwa kuwa hayana kiki kama hayo mengine, ndio maana basic needs kwa wananchi wanazipotezea, mbaya zaidi pesa hakuna kitaa, tusishangae kunywa chai kwa pipi.
Sukari imefichwa wapi ilikuwa ni kutapatapa tu, nchi yetu hakuna atayeingia akatimiza anayosema, kabla ya kuingia ahadi nyiingi mtu akishaapishwa tu akiingia jumba jeupe anaanza vitu vingine kabisaaaa! So tumezoea tu sasa!
 
Kama kawaida ya kila mwaka kipindi cha masika viwanda vya sukari vimeanza kufungwa na sukari imepanda bei.

Hapa Arusha bei ya jumla imepanda kutoka tzs 98,000 kwa mfuko wa kilo 50 hadi TZS 1050,00. Bei ya rejareja ni TZS 2,500 kwa kilo kutoka 2,200.

Tunaomba Waziri Mkuu atoe tamko kama hii ni halali na serikali inachukua hatua gani kuziba pengo kama kuna upungufu.
Na hapo bado namba hazijakolea,tutazidi kusoma namba baada ya miaka mitatu
 
Robo ni 600,Nusu 1200 itakuwa tunarudi enzi zile za mababu zetu asubuhi hakuna kunywa chai
 
Kama kawaida ya kila mwaka kipindi cha masika viwanda vya sukari vimeanza kufungwa na sukari imepanda bei.

Hapa Arusha bei ya jumla imepanda kutoka tzs 98,000 kwa mfuko wa kilo 50 hadi TZS 1050,00. Bei ya rejareja ni TZS 2,500 kwa kilo kutoka 2,200.

Tunaomba Waziri Mkuu atoe tamko kama hii ni halali na serikali inachukua hatua gani kuziba pengo kama kuna upungufu.
Tamko la nini bei inasimamiwa na market forces supply and demand
 
Na kuhusu kuziba pengo ili supply izuie bei kupanda hakuihitaji tamko la serikali? Au wewe ni diabetic?
Wewe sio mchumi maana wakati ule uagizaji wa sukari toka nje ulipokatazwa (supply ilikuwa low) bei ilipanda sana mbali na matamko ya serikali na kusaka magodouni ya watu bei haikushuka kwa sababu supply ilikuwa kidogo kuliko demand anyway unaweza usielewe subiri tamko ili bei ishuke

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Amekaa kmya kma hajui sukari haikamatiki madukani sasa iv
 
Kawaida kila miaka ukaribiapo mfungo wa mwezi wa ramadhani wafanyabiashara huficha sukari na kupandisha bei
 
Back
Top Bottom