Bei ya Nyama imefikia Kilo tsh ngapi huko kwenu?

Nyama nyekundu ina maradhi,ale mboga za majani,samaki,dagaa nk
Si kweli kuwa nyama nyekundu ina maradhi. Uweupe au wekundu wa nyama hutegemea na uwepo wa myoglobin. Myoglobin ikiwa nyingi kwenye seli za misuli basi nyama huwa nyekundu ikiwa chache nyama hua nyeupe.

Myoglobin husaidia oxygen iingizwe kwa wingi kwenye misuli ili kuichakata kupata nishati. Hivyo wekundu au weupe wa nyama za misuli ya mnyama hutegemea nature ya shughuli zake jinsi alivyoumbwa...

Kama anatumia nishati nyingi kwenye movements za misuli basi nyama huwa nyekundu..kwa maana ya myoglobin kuwa nyingi ili isaidie nishati izalishwe kwa wingi kumruhusu mnyama husika aweze kufanya movements zake. Kuku au samaki weingi wana nyama nyeupe ikiwa na maana ya kuwa na myoglobin chache...hawahitaji nishati kibao kufanya movements as their muscles contract and relax.

Ila ng'ombe ana nyama nyekundu kwa vile ana uzito mkubwa na anahitaji kutembea tembea sana hivyo misuli yake itahitaji nishati nyingi.

Hiyo mambo ya red meat kuwa ni mbaya kiafya ni myth tu...wamasai wanaokula sana nyama ndiyo wangeongoza kwa hayo magonjwa..lakini kinyume chake they are healthy.
 
Si kweli kuwa nyama nyekundu ina maradhi. Uweupe au wekundu wa nyama hutegemea na uwepo wa myoglobin. Myoglobin ikiwa nyingi kwenye seli za misuli basi nyama huwa nyekundu ikiwa chache nyama hua nyeupe.

Myoglobin husaidia oxygen iingizwe kwa wingi kwenye misuli ili kuichakata kupata nishati. Hivyo wekundu au weupe wa nyama za misuli ya mnyama hutegemea nature ya shughuli zake jijsi alivyoumbwa...

Kama anatumiabnishati nyingi kwenye movements za misuli basi nyama huwa nyekundu..kwa maana ya myoglobin kuwa nyingi ii isaidie nishati izalishwe kwa wingi kumruhusu mnyama husika aweze kufanya movements zake. Kuku au samaki weingi wana nyama nyeupe ikiwa na maana ya kuwa na myoglobin chache...hawahitaji nishati kibao kufanya movements as their muscles contract and relax.
Fuga ng'ombe,mbuzi,kondoo nk.Utakula nyama nyekundu,kwa bei rahisi.
 
Nyama haikamatiki tena, majuzi hapa dar nimenunua kilo elfu 8 kutoka elfu 7.....watu wataanza kushindia matembele, hayo maharage yenyewe kuyapika hadi yaive ni gharama....tozo iendelee.
 
Back
Top Bottom