Kutokea ngapi ? Ili kujua mfumuko ni vema ukajua kabla ilikuwa ngapi ?Kumekua na mfumuko wa bei wa vitu,ila Leo tujuzane kuhusu nyama,hapa Tabora vijijini kilo tsh 6000.Tabora mjini kg moja tsh 7000.Huko kwenu VIP?
Wakati najiunga na JF about 10 years ago, kulikuwa hakuna nyuzi za namna hii!Kumekua na mfumuko wa bei wa vitu,ila Leo tujuzane kuhusu nyama,hapa Tabora vijijini kilo tsh 6000.Tabora mjini kg moja tsh 7000.Huko kwenu VIP?
Kujua mfumuko wa Bei ya bidhaa ni kosa?mkuu una stressWakati najiunga na JF about 10 years ago, kulikuwa hakuna nyuzi za namna hii!
Mtu mzima unaanzisha Uzi kuhusu nyama!
Halafu hajasema ni nyama ya nini?Wakati najiunga na JF about 10 years ago, kulikuwa hakuna nyuzi za namna hii!
Mtu mzima unaanzisha Uzi kuhusu nyama!
Wakati najiunga na JF about 10 years ago, kulikuwa hakuna nyuzi za namna hii!
Mtu mzima unaanzisha Uzi kuhusu nyama!
Wametangaza nyama gani?maana nyama ni nyingi.Nimeanzisha Uzi huu mana ITV wametangaza kua bei ya nyama imepanda Morogoro,najitambua sana.
Igingiranyi-Iringa vijijiniWapi huko