Bei ya Mchele imepaa

Bei ya Mchele imepaa

Wadau leo mchele umefika 3,000 kwa kilo, tunaelekea wapi?
Dah Yani elfu tatu unaona nyiiiingiiiii wakati Mimi hapa nilipo basmati na jasmine nanunua karibu elfu kumi na Moja kwa kilo?

SI Kuna magimbi na mihogo?
 
Hayo ni madhara ya kutumia hela kwenye miradi ya kijinga na V8. Kuliko kuwekeza kwenye umwagiliaji. Kilimo cha kutegemea mvua ni zaidi ya kubeti. Suluhisho ni Serikali iwekeze kwenye umwagiliaji.

Zaidi ya hapo bei zitapaa mpaka mchele kilo itakuwa 10,000, na itapaa zaidi mpaka kilo moja ya chakula itafika laki. Na itaendelea kupaa mpaka kufika mbinguni.

Kwa sasa tuombe Mungu alete mvua.
 
Wadau leo mchele umefika 3,000 kwa kilo, tunaelekea wapi?
Tumsome waziri kwanza
20220916_185650.jpg
 
Hayo ni madhara ya kutumia hela kwenye miradi ya kijinga na V8. Kuliko kuwekeza kwenye umwagiliaji. Kilimo cha kutegemea mvua ni zaidi ya kubeti. Suluhisho ni Serikali iwekeze kwenye umwagiliaji.

Zaidi ya hapo bei zitapaa mpaka mchele kilo itakuwa 10,000, na itapaa zaidi mpaka kilo moja ya chakula itafika laki. Na itaendelea kupaa mpaka kufika mbinguni.

Kwa sasa tuombe Mungu alete mvua.
Mkuu tukalime tuwe mfano sisi
 
Kuna jirani yangu hapa, naona kwenye veranda yake, amejaza magunia ya mpunga; kweli kilimo kinalipa, hawazi mchele kupanda bei
 
Sukuma gang mtakoma mwamka huu! Mnazidi kukomeshwa
 
Back
Top Bottom