Bei ya Mchele imepaa

Bei ya Mchele imepaa

Serikali ilifanya makosa makubwa kuanza miradi mingi kwa wakati 1

Kuhamia Dodoma
Bwawa la umeme
Reli
Daraja la busisi
Uwanja wa ndege chato
 
Dah Yani elfu tatu unaona nyiiiingiiiii wakati Mimi hapa nilipo basmati na jasmine nanunua karibu elfu kumi na Moja kwa kilo?

SI Kuna magimbi na mihogo?
Hahaha Ujerumani huo mchele ni 5k-6k.
Sasa jasmine si mchele super kyela
 
Chakula kingi kimesafirishwa kwenda nje ya nchi.
Tusisingizie uhaba wa mvua,laiti chakula chote kilichovunwa kingebaki nchini sasa hizi kilo ya sembe ingekuwa 900.
Any way mbere kwa mbereX2.
 
Back
Top Bottom