Kama kawaida yangu leo nimeendelea na mihangaiko yangu ya kila siku lakini ilipofika jioni nikapata taarifa ya uhakika kwamba bei ya petrol kasulu sasa ni shilingi 6000 kwa lita lakini ya diesel bado iko chini kidogo. Swali kwa wadau hii inasababishwa na nini? Mbona juzi juzi mamlaka husika zimekanusha juu ya tetesi za uhaba wa mafuta? Nawasilisha hoja.
Kama kawaida yangu leo nimeendelea na mihangaiko yangu ya kila siku lakini ilipofika jioni nikapata taarifa ya uhakika kwamba bei ya petrol kasulu sasa ni shilingi 6000 kwa lita lakini ya diesel bado iko chini kidogo. .
I like this one. angalao Autopilot huku hali ya hewa ikiwa shwari, hakuna storm wala nini. tatizo ni kwamba, Mkwere hajui lolote, so, ni bora aendelee na ziara za kubembea kuliko kugusa usukani.Once again inchi iko under autopilot for another five years
Kama kawaida yangu leo nimeendelea na mihangaiko yangu ya kila siku lakini ilipofika jioni nikapata taarifa ya uhakika kwamba bei ya petrol kasulu sasa ni shilingi 6000 kwa lita lakini ya diesel bado iko chini kidogo. Swali kwa wadau hii inasababishwa na nini? Mbona juzi juzi mamlaka husika zimekanusha juu ya tetesi za uhaba wa mafuta? Nawasilisha hoja.
6,000/- per litre?? au 1,600??
Am I dreaming??
na bado...huko si ndo dubai?
6000???????????????????????????????????????:nono::nono::nono::nono:

Mh unauhakika na hilo ndugu yangu au ni uzushi? Kama kweli basi kweli kigoma sio Tanzania.