Bei ya mafuta imeshuka

Bei ya mafuta imeshuka

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
32,192
Reaction score
79,631
Screenshot_20250508-110157.jpg


Petrol ilikua Tsh 3100 sasa ni 2947 Wakati diesel ilikua 2934 sasa ni 2868 per Litre
 
Ilitakiwa kushuka zaidi. Kwenye soko la dunia bei ya mafuta Iko chini sana. Nadhani tumeharibiwa na shilingi yetu kushuka thamani
 
Ila kupanda kwa bei ya mafuta (petroli) isiwe sababu ya kuacha kujaza full tank au kuanza kuweka mafuta ya elf 10.....

Jaza tanki, punguza safari zisizo na ulazima.
We unawaza ile gari yako ninayokuona nayo kwenye ofisi ya SAG😁😁😁😁?
 
Back
Top Bottom