Bei ya mafuta imeshuka

Bei ya mafuta imeshuka

Hivi bado vituo vya mafuta haviwauzii wanaoenda na vidumu?

Hii nchi kuna mbwembwe sana!
 
We unawaza ile gari yako ninayokuona nayo kwenye ofisi ya SAG😁😁😁😁?


Hivi bado uko kijiweni pale nje ya geti la osheni rodi au umehama kijiwe?

Madafu yapo?

Bei yake inaendaje saa hii? Kama bado buku nichongee madafu 5 tafadhali 😋😋😋.
 
Ilitakiwa kushuka zaidi. Kwenye soko la dunia bei ya mafuta Iko chini sana. Nadhani tumeharibiwa na shilingi yetu kushuka thamani
wanaoharibu shillingi yetu kushuka Dhamani ni serekali yetu ilioshikilia asilimia nyingi za madeni ya Nje, 76.4% EU wakija kufanya uwekezaji huku hawatumi ela nyingi tofauti na sisi tukienda kwao unabidi ubadilishe buku3 iwe dollar 1 na kicent ila yeye akija huku anabadili dollar 1 iwe buku 3 Ni maumivu kwetu Tu
 
Back
Top Bottom