Nigeria inakabiliwa na ongezeko kubwa la bei ya mafuta, licha ya kuanza kazi kwa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote, ambacho ni kikubwa zaidi barani Afrika.
Bei zimepanda kwa takribani asilimia 65%, huku sehemu kubwa ya mafuta yake yenyewe imefungwa katika makubaliano ya kulipa madeni kwa wakopeshaji wa kimataifa na makampuni ya nishati, hali inayopunguza upatikanaji wa mafuta kwa matumizi ya ndani.
Hali imezidi kuwa mbaya kutokana na mzozo unaoendelea Mashariki ya Kati, ambao umevuruga njia za usambazaji duniani na kusababisha bei ya mafuta kupanda hadi zaidi ya dola 100 kwa pipa.
Kwa wananchi wa Nigeria wanaathirika moja kwa moja baada ya gharama za usafiri kuongezeka, bei za vyakula zimepanda mara mbili katika baadhi ya maeneo, na biashara zinakabiliwa na gharama kubwa za uendeshaji. Kutokana na upatikanaji usio wa uhakika wa umeme nchini humo, kaya nyingi na makampuni hutegemea jenereta zinazotumia mafuta, jambo linalowafanya kuwa katika hatari zaidi ya kupanda kwa bei hizo.
Serikali imeamua kuto rejesha ruzuku ya mafuta, ikielekeza nguvu katika mageuzi ya muda mrefu ya soko pamoja na hatua chache za muda mfupi za kupunguza makali ya hali hiyo.
===========
Nigeria is facing a sharp fuel price surge, despite the launch of the Dangote Refinery, Africa’s largest.
Prices have jumped by around 65%, the steepest increase among major African economies. The refinery was expected to reduce imports and stabilize costs, but Nigeria still relies heavily on foreign crude. Much of its own oil production is tied up in debt repayments to international lenders and energy companies, limiting local supply.
The situation has been made worse by the ongoing conflict in the Middle East, which has disrupted global supply routes and pushed oil prices above $100 a barrel.
For Nigerians, the effects are immediate and severe. Transport costs have risen, food prices have doubled in some cases, and businesses are struggling with higher operating expenses. With unreliable electricity across the country, many households and companies depend on fuel-powered generators, making them especially vulnerable to price increases.
The government has chosen not to reintroduce fuel subsidies, focusing instead on long-term market reforms and limited short-term relief measures.
Source: African news