Ndo maama wachimbaji wengi wanakuja kuuzia Tanzania.?Msumbiji 160000 per gram
Tola moja inakaribia 12 gramsNakumbuka tola moja ilikuwaga 60,000
Congo 120000 per gramMsumbiji 160000 per gram
AiseeTola moja inakaribia 12 grams
Kweli wazazi Wetu Ndio maana walikuwa wananunua sana dhahabu miaka ya nyuma.
Leo thamani ni kubwa sana
Ishu ni kuptisha kuvukanayo bodaNdo maama wachimbaji wengi wanakuja kuuzia Tanzania.?
Kwani wanakuvua nguo kukusachi au kuna scanner ya mtu getini kwenye boda ya msumbiji?Ishu ni kuptisha kuvukanayo boda
Sisi familia zetu wanaume tunawanunulia dhahabu wake zetu na ni utamaduni wa miaka na miakaAisee
Nakwambia hio ilikuwa 1998, nakumbuka sana
Mama alinipa hela yake nikamnunulie tola mbili
Unataka mbinu tukupe.?Ishu ni kuptisha kuvukanayo boda
Km hutajali.Unataka mbinu tukupe.?
Kwenye kibali sasa ndo kipengele na ukitakwa unapewa kesi ya utoroshaji wa madini na wkt umechimba mwenyewe😁Utofauti huo wa bei ndiyo unaofanya biashara iendelee kustawi.
To be honest, bei ya sasa ya dhahabu ni nzuri kuliko miaka yote
Kama uliweza kuhifadhi akiba ya Mwaka 2021 tu, saivi utauza Kwa bei nzuri zaidi iliyopo Sokoni
NB: ukiweza kwenda kuuza kwenye soko la Dubai, utauza Kwa bei hiyo ya 280k
Hivyo utapata Faida mara mbili zaidi
Kumbe ndiyo maana wale wahuni kwenye ile Docuseries ya Gold Mafia wanafosi kwenda kuuza Dubai?! Hatari sanaUtofauti huo wa bei ndiyo unaofanya biashara iendelee kustawi.
To be honest, bei ya sasa ya dhahabu ni nzuri kuliko miaka yote
Kama uliweza kuhifadhi akiba ya Mwaka 2021 tu, saivi utauza Kwa bei nzuri zaidi iliyopo Sokoni
NB: ukiweza kwenda kuuza kwenye soko la Dubai, utauza Kwa bei hiyo ya 280k
Hivyo utapata Faida mara mbili zaidi