Bei ya madini ya dhahabu Tanzania

Bei ya madini ya dhahabu Tanzania

Sisi familia zetu wanaume tunawanunulia dhahabu wake zetu na ni utamaduni wa miaka na miaka

Na wasichana hupewa kiasi na mama zao pindi wanapoolewa
Ni uwekezaji mzuri sana maana thamani hupanda kila wakati

Kuna nchi zimewekeza dhahabu nyingi sana ambapo ni utajiri mkubwa sana

Algeria wanaongoza Africa kwa kuwekeza Toni 180 kwenye akiba yao
Sisi sidhani hata tuna tani moja
Juzi walisema tuna hifadhi ya tani 17 ya dhahabu pale hazina.
 
Bei ya madini ya DHAHABU leo Tarehe 19 July kwa kila gram 1 ni kama ifuatavyo:

■ soko la dunia gram 1 ni Tsh 280,822/=
■Soko la Tanzania gram 1 ni Tsh 252,740/=
Wewe unafikiri ni kwanini bei inatofautiana hapo??
Sahihi lakini madini yenyewe imekuwa ishi balaaa
 
Magufuli kuanzisha masoko na kuweka bei elekezi ilisaidia sana. Tanzania bara ni mkoa michache sana Haina dhahabu, nchi yote imejaa dhahabu.
 
Juzi walisema tuna hifadhi ya tani 17 ya dhahabu pale hazina.
Nafikiri wamesikia kelele zetu za kila wakati

Nchi yetu ina dhahabu na Fursa hata uwezo tunao wa kuweka

Inabidi serikali iongeze kuweka na kuhufadhi sana
Ila sio mbaya ila bado sana
 
Kumbe ndiyo maana wale wahuni kwenye ile Docuseries ya Gold Mafia wanafosi kwenda kuuza Dubai?! Hatari sana
Bei ni hiyo hiyo hata ukiwauzia BOT

Au hamjui BOT kuwa wananunua dhahabu siku hizi na malipo ni ndani ya siku 2 tu u alipwa pesa zako zote hata kama ni bilion.

Acheni kudanganyana kuwa ni lazima ukauze dhahabu nje.
 
Halafu hiyo 280,000 ni Kwa dhahabu Ambayo Ina purity Kwa 99.9% ... Hapo ndio kimbembe.

Ukipeleka Dhahabu yako ya 88% purity utalipwa 280000×88% = 246,400

Hapo ndio husikia watu wanafirisika na kusaga meno. Ukiishia kuangalia bei ya kuuzia bila kujua kuwa dhahabu Huwa inauzwa pia Kwa Kuangalia purity sio uzito tu.

Sasa jichanganye langua dhahabu zako za purity ya 78% uone kama utalipwa hiyo 280,000 Kwa Gram kama hujarusha ngumi
 
Kumbe ndiyo maana wale wahuni kwenye ile Docuseries ya Gold Mafia wanafosi kwenda kuuza Dubai?! Hatari sana
Bei ya dhahabu Dubai ni nzuri kuliko maeneo mengi, labda Kwa kuwa Kodi zao sio kubwa kama huku kwetu.

Kuna sehemu niliona, Serikali za Mitaa ambapo dhahabu zinachimbwa, wameingiza makato kwaajili ya CSR

Ambapo Kwa Kila gramu 1 itakayopelekwa Sokoni na wachimbaji Wadogo, basi watakatwa shilingi 1000

Hayo ni makato nje ya Kodi rasmi za TRA
 
Kwenye kibali sasa ndo kipengele na ukitakwa unapewa kesi ya utoroshaji wa madini na wkt umechimba mwenyewe😁
Unatakiwa ujisajili kama dealer

Ukiwa dealer, unaruhusiwa kwenda kuuza popote utakapoona Kuna Faida, japo Benki Kuu wameweka ka zuio fulani nowadays wakitaka yauzwe humu humu ndani
 
Bei ya dhahabu Dubai ni nzuri kuliko maeneo mengi, labda Kwa kuwa Kodi zao sio kubwa kama huku kwetu.

Kuna sehemu niliona, Serikali za Mitaa ambapo dhahabu zinachimbwa, wameingiza makato kwaajili ya CSR

Ambapo Kwa Kila gramu 1 itakayopelekwa Sokoni na wachimbaji Wadogo, basi watakatwa shilingi 1000

Hayo ni makato nje ya Kodi rasmi za TRA
Acha uongo wako

Bei ya dhahabu Dunia nzima ni sawa...
 
Sisi familia zetu wanaume tunawanunulia dhahabu wake zetu na ni utamaduni wa miaka na miaka

Na wasichana hupewa kiasi na mama zao pindi wanapoolewa
Ni uwekezaji mzuri sana maana thamani hupanda kila wakati

Kuna nchi zimewekeza dhahabu nyingi sana ambapo ni utajiri mkubwa sana

Algeria wanaongoza Africa kwa kuwekeza Toni 180 kwenye akiba yao
Sisi sidhani hata kama tuna tani moja
Fatilia taarifa za BoT wanayo majibu kuwa Wana hifadhi ya kiasi gani.
 
Sisi familia zetu wanaume tunawanunulia dhahabu wake zetu na ni utamaduni wa miaka na miaka

Na wasichana hupewa kiasi na mama zao pindi wanapoolewa
Ni uwekezaji mzuri sana maana thamani hupanda kila wakati

Kuna nchi zimewekeza dhahabu nyingi sana ambapo ni utajiri mkubwa sana

Algeria wanaongoza Africa kwa kuwekeza Toni 180 kwenye akiba yao
Sisi sidhani hata kama tuna tani moja
serikali kupitia Benki Kuu toka mwaka Jana walianza kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogowado na wanaosafirisha nje,unaiuzia BOT 20% ya dhahabu ulizonazo,hakuna makato na unapewa cash,hadi last month BOT wamekusanya 5 tons.
 
Asante kwa hilo
Kuna mdau kasema mpaka sasa kuna tani 17 kwenye akiba yetu
Sio mbaya ila lazima tuwe na akiba kubwa sana ya dhahabu na ichungwe haswa
 
Back
Top Bottom